Namshauri Lissu akitoka aachane na siasa. Aungane na CCM ale pesa umri umeenda

Kwahiyo we umejificha nyuma ya keyboard hutaki kutoka jasho hata kidogo ukiitwa kwenye maandamano hutaki kwenda alafu unataka Lissu aendelee kukaa mahabusu?
Tukienda wote nani atabaki huku nyuma ya keyboard kudeal na hawa wakaa nyuma ya keyboard wa upande wa pili.

Hata kwenye vita, kuna vitengo tofauti, mie kitengo changu ni nyuma ya keyboard
 
Nyuma ya keyboard ni Kwa wanawake au na wewe ni binti mnyenz
 
Maisha sio pesa na kunywa na kula, kwa maneno haya unamaanisha ili asisumbuliwe ni kuwa ccm
 
Mbona wewe upo nyuma ya keyboard?
Sina Cha kupambania ndio maana nipo nyuma ya keyboard mambo yangu safi kabisa nikiona kitu Cha kupambania siwezi Kaa nyuma ya keyboard kama wewe unavyojisifia
 
Nami nipp kwenye mchakato wa kuhamia burundi.

Aliyeturoga watanzania kaishakufaga.
 
Lisu Kuachana na siasa manake afanye buzy zingne na sio kujiunga ccm maana bado atakuwa siasani.

Hata hivyo ushauri wako ni mzuri sana ikiwa atajiunga ccm ila sio kwa ajili ys pesa.
Na kama ni kwaajli ya pesa basi umeitukana ccm tusi kubwa na umewatukana watz tusi kuu japokuwa imekuwa sehemu ya CV yetu watz.

Ila tafadhari usishauri tena watz kuhamia au kuwania nafasi kwa ajili ya pesa mkuu, maana tunakesha tukiomba kwa dhamiri zetu kwamba tupone ktk huo ulaibu wa kifuska.
 
Leo mahakamani Lissu ameonekana kakonda sana aisee. Nimejiuliza anachohangaikia ni kipi, anaacha kuungana na CCM kula pesa mpaka kifo chake, anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona anateseka, wanaishia kukomenti "no reform no election" mtandaoni kama wanaangalia muvi.

Kinachonifurahisha ni kwamba nilichokiona leo, Lissu ameshaanza kuona anachokifanya ni ujinga. Natarajia akitoka ataacha kurisk maisha yake kisa wajinga ambao hawana msaada wowote akipata matatizo.

Tanzania ni mali ya CCM na hiki chama kitaongoza milele sababu kinaogopwa nashukuru mchakato wangu wa kubadili uraia umekamilika. Hivyo kupambana nacho ni kujipalia moto. Mnyonge acha afe sababu dunia hii ni ya wababe.
Kunenepa sana sio afya
 
downloadfile~6.jpg
 
Nilishalisema hili mara kibao.

Wewe unamwongelea Lissu. Gwaji Boy wa watu alipewa kichwa na mijinga ya No reforms no election sasa hivi anasaga meno mwenyewe.

Ni mjinga tu ndiye atakayeamini wafuasi wa Kitanzania.
 
Ukiwa ccm ufisadi ni sifa kubwa sana. Badala ya kuona Lissu mzalendo anatetea matumizi bora ya rasilimali za taifa, unamshauri aungane na CCM akaibe mali za umma.
Ccm laana.
Sio "CCM laana."

Sema watu waliokaa kwenye kiti ndio laana.
 
Leo mahakamani Lissu ameonekana kakonda sana aisee. Nimejiuliza anachohangaikia ni kipi, anaacha kuungana na CCM kula pesa mpaka kifo chake, anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona anateseka, wanaishia kukomenti "no reform no election" mtandaoni kama wanaangalia muvi.

Kinachonifurahisha ni kwamba nilichokiona leo, Lissu ameshaanza kuona anachokifanya ni ujinga. Natarajia akitoka ataacha kurisk maisha yake kisa wajinga ambao hawana msaada wowote akipata matatizo.

Tanzania ni mali ya CCM na hiki chama kitaongoza milele sababu kinaogopwa nashukuru mchakato wangu wa kubadili uraia umekamilika. Hivyo nimefurahi kutoka kwenye mdomo wa ccm ambapo hiki chama kupambana nacho ni kujipalia moto. Mnyonge acha afe sababu dunia hii ni ya wababe.

View: https://youtu.be/WHXrcIW9N80?t=296
 
Back
Top Bottom