Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
- #41
Sijuianakaa wapi?
Sijuianakaa wapi?
Sio kazi bure bali ni kazi ngumu ambayo ni lazima kufanyika.Ukombozi wa kuwakomboa wajinga ni kazi bure unakomboa watu ambao wanasema wako na uhuru na amani utakua huna akili
Unakomboaje mtu ambaye anasema amepata uhuru na ana amani hivi unajua unachokiongea lakini mzee watu wamesema wanauhuru na amani wewe unataka uwakomboe nini sasaSio kazi bure bali ni kazi ngumu ambayo ni lazima kufanyika.
Mfano kutumia gadget ni rahisi na furaha lakini kwa aliyetumia muda kuitengeneza huenda haikuwa rahisi hivyo. Same kama hao wanaofurahia keki ya taifa ukweli ni kwamba haikuwekwa hapo naturally bali kuna watu walipambana kuifikisha hapo na bila kujitokeza watu kama TL sasa huenda mbeleni isilike kama sasa
Wote tukienda kumtetea physically nani atabaki mtandaoni ku deal na wajinga kama wewe?Nenda kamtetee lissu sio unakalisha makalio humu kunandika mwenzio anahenya huku akiwa kilema
Uzuri lissu Kashastuka ameona anapambania wajingaWote tukienda kumtetea physically nani atabaki mtandaoni ku deal na wajinga kama wewe?
Yeye yupo mahakamani, mtandaoni tupo sisi tunagawa wastan kwa idadi
Kilema ni hali tu ambayo hauwezi kuibadili kama ulivyo ujinga wako
Wajinga kama nani????Uzuri lissu Kashastuka ameona anapambania wajinga
Ukiwaita wenzio wajinga wewe utakuwa mpumbavu wa kutaka watu wote wawe na akili za kufanana.Uzuri Lissu kashastuka anapambania wajinga ikiwemo wewe
Awe kama Mbowe alivyokua anakula koshokaji huku anasema, 'Mama anaupiga mwingi "!!Leo mahakamani Lissu ameonekana kakonda sana aisee nimejiuliza anachohangaikia ni kipi anaacha kuungana na CCM kula pesa mpaka kifo chake anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona anateseka wanaishia kukomenti no reform no election mtandaoni kama wanaangalia muvi kinachonifurahisa ni kwamba nilichokiona leo Lissu ameshaanza kuona anachokifanya ni ujinga na natarajia akitoka ataacha kurisk maisha yake kisa wajinga ambao hawana msaada wowote akipata matatizo tanzania ni Mali ya CCM na hiki chama kitaongoza milele sababu kinaogopwa hivyo kupambana nacho ni kujipalia moto mnyinge acha afe sababu dunia hii ni ya wababe
Usingilie conscience yake. Acha Kila mtu aishi kulingana na wito wake hapa duniani hatuwezi kuwa sawa. Hata watu wote wapotoke lkn atabaki hata mmoja kufanya restoration.Leo mahakamani Lissu ameonekana kakonda sana aisee nimejiuliza anachohangaikia ni kipi anaacha kuungana na CCM kula pesa mpaka kifo chake anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona anateseka wanaishia kukomenti mtandaoni kama wanaangalia muvi kinachonifurahisa ni kwamba nilichokiona leo Lissu ameshaanza kuona anachokifanya ni ujinga na natarajia akitoka ataacha kurisk maisha yake kisa wajinga ambao hawana msaada wowote akipata matatizo tanzania ni Mali ya CCM na hiki chama kitaongoza milele sababu kinaogopwa hivyo kupambana nacho ni kujipalia moto mnyinge acha afe sababu dunia hii ni ya wababe
Ungekua mtoto au ndugu wa lissu usingeandika huu ujingaUsingilie conscience yake. Acha Kila mtu aishi kulingana na wito wake hapa duniani hatuwezi kuwa sawa. Hata watu wote wapotoke lkn atabaki hata mmoja kufanya restoration.
Hakuna mtu Wala, mfumo, wa serikali itabaki milele. Hata isipo kufa Kwa nguvu by natural death tu itafutika.
Kuna watu wana dhamiri hai kweli kweli na wanakiishi kile wanachokiamini huko ndio wanapata full self realization.
Si kikatika Pesa kama wewe unavyo Dhani huko utapata satsfication ya maisha.
Mjinga Hana akili ushawahi kuona wapi mjinga ana akili ndio wewe Sasa mjingaUkiwaita wenzio wajinga wewe utakuwa mpumbavu wa kutaka watu wote wawe na akili za kufanana.
Wewe kipaumbele chako ni fedha Lissu kipaumbele chake ni nchi
Tanzania ni Mali ya ccm hamna alieichoka ndio maana watanzania wanasema wamepata uhuru na Wana amaniWatanzania washaichoka CCM vibaya mno, body language ya majority ya watanzania kuelekea uchaguzi wa mwaka huu unakupa majibu.
AiseeKatibu mkuu wa chadema aende akapunguze Tshirt za Lissu zimeshakua kubwa
Leo mahakamani Lissu ameonekana kakonda sana aisee. Nimejiuliza anachohangaikia ni kipi, anaacha kuungana na CCM kula pesa mpaka kifo chake, anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona anateseka, wanaishia kukomenti "no reform no election" mtandaoni kama wanaangalia muvi.
Kinachonifurahisha ni kwamba nilichokiona leo, Lissu ameshaanza kuona anachokifanya ni ujinga. Natarajia akitoka ataacha kurisk maisha yake kisa wajinga ambao hawana msaada wowote akipata matatizo.
Tanzania ni mali ya CCM na hiki chama kitaongoza milele sababu kinaogopwa. Hivyo kupambana nacho ni kujipalia moto. Mnyonge acha afe sababu dunia hii ni ya wababe.
Uzuri lissu kashastuka anaowapambania ni wajinga ikiwemo weweHujishangai kuwa na ushauri kama wa mama?
Au na wewe ni teka teka FC?
Lissu umaarufu wote kwishaaaa! Amebaki mmoja, waliomjalia pale mahakamani wanaenda wanaisha daily, wamegundua lissu ni kichaa. Anazidiwa umaarufu hata na Hamorapa.Leo mahakamani Lissu ameonekana kakonda sana aisee. Nimejiuliza anachohangaikia ni kipi, anaacha kuungana na CCM kula pesa mpaka kifo chake, anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona anateseka, wanaishia kukomenti "no reform no election" mtandaoni kama wanaangalia muvi.
Kinachonifurahisha ni kwamba nilichokiona leo, Lissu ameshaanza kuona anachokifanya ni ujinga. Natarajia akitoka ataacha kurisk maisha yake kisa wajinga ambao hawana msaada wowote akipata matatizo.
Tanzania ni mali ya CCM na hiki chama kitaongoza milele sababu kinaogopwa. Hivyo kupambana nacho ni kujipalia moto. Mnyonge acha afe sababu dunia hii ni ya wababe.
Usimfananishe mwalimu na vitu vya kijingajinga.What if J.K. Nyerere ange give-up na kuungana na wakoloni kupiga hela?
Lazima kuwapo na watu wa kufight, japokuwa nakubaliana na wewe kumpigania mtanzania ni shida sana