Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Anajua kwanini yupo hapa duniani, na anakiishi kilichomleta.....
Nyerere ndio mjinga namba 1 tanzaniaUsimfananishe mwalimu na vitu vya kijingajinga.
Kwahiyo we umejificha nyuma ya keyboard hutaki kutoka jasho hata kidogo ukiitwa kwenye maandamano hutaki kwenda alafu unataka Lissu aendelee kukaa mahabusu?Wote tukienda kumtetea physically nani atabaki mtandaoni ku deal na wajinga kama wewe?
Wewe mbona huendi kuwatetea wanaomshtaki???
Yeye yupo mahakamani, mtandaoni tupo sisi tunagawa wastan kwa idadi
Kilema ni hali tu ambayo hauwezi kuibadili kama ulivyo ujinga wako
Apostle Tundu LissuAanzishe Huduma ya Kiroho tu maisha ya Siasa yamemkataa

Leo mahakamani Lissu ameonekana kakonda sana aisee. Nimejiuliza anachohangaikia ni kipi, anaacha kuungana na CCM kula pesa mpaka kifo chake, anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona anateseka, wanaishia kukomenti "no reform no election" mtandaoni kama wanaangalia muvi.
Kinachonifurahisha ni kwamba nilichokiona leo, Lissu ameshaanza kuona anachokifanya ni ujinga. Natarajia akitoka ataacha kurisk maisha yake kisa wajinga ambao hawana msaada wowote akipata matatizo.
Tanzania ni mali ya CCM na hiki chama kitaongoza milele sababu kinaogopwa. Hivyo kupambana nacho ni kujipalia moto. Mnyonge acha afe sababu dunia hii ni ya wababe.
Enzi za ukoloni Babu zetu wangekuwa na akili za kijinga kama za kwako,ungekuta hadi Leo hii hatujapata uhuruLeo mahakamani Lissu ameonekana kakonda sana aisee. Nimejiuliza anachohangaikia ni kipi, anaacha kuungana na CCM kula pesa mpaka kifo chake, anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona anateseka, wanaishia kukomenti "no reform no election" mtandaoni kama wanaangalia muvi.
Kinachonifurahisha ni kwamba nilichokiona leo, Lissu ameshaanza kuona anachokifanya ni ujinga. Natarajia akitoka ataacha kurisk maisha yake kisa wajinga ambao hawana msaada wowote akipata matatizo.
Tanzania ni mali ya CCM na hiki chama kitaongoza milele sababu kinaogopwa. Hivyo kupambana nacho ni kujipalia moto. Mnyonge acha afe sababu dunia hii ni ya wababe.
Ndio maana nasema lissu anapigania wajinga Sasa wewe Kwa huo umri hujui hata tanzania ilipewa uhuru bandia haikuwahi kupigania uhuru kweli kazi ipoEnzi za ukoloni Babu zetu wangekuwa na akili za kijinga kama za kwako,ungekuta hadi Leo hii hatujapata uhuru
Endelea kuota tanzania ni Mali ya ccmUsiseme kitaongoza milele mimi naamini kama sio sisi basi vizazi vyetu vitawaondoa hawa jamaa
Yaani wakati yupo gerezani watanzania wako busy na simba na yanga mara hatuchezi, mara mwekezaji. Lissu apumzike achukue ajira hata huko Mamtoni. Awaache CCM wazidishe shida mpaka machawa waanze kutekwa na kupotea kama wanaokosoa serikali. Hapo ndio wananchi wataamka. Ila kwa sasa uwezo wetu wa kuvumilia shida kwa kigezo cha uzalendo bado upo.Leo mahakamani Lissu ameonekana kakonda sana aisee. Nimejiuliza anachohangaikia ni kipi, anaacha kuungana na CCM kula pesa mpaka kifo chake, anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona anateseka, wanaishia kukomenti "no reform no election" mtandaoni kama wanaangalia muvi.
Kinachonifurahisha ni kwamba nilichokiona leo, Lissu ameshaanza kuona anachokifanya ni ujinga. Natarajia akitoka ataacha kurisk maisha yake kisa wajinga ambao hawana msaada wowote akipata matatizo.
Tanzania ni mali ya CCM na hiki chama kitaongoza milele sababu kinaogopwa. Hivyo kupambana nacho ni kujipalia moto. Mnyonge acha afe sababu dunia hii ni ya wababe.
Kabisa mkuuYaani wakati yupo gerezani watanzania wako busy na simba na yanga mara hatuchezi, mara mwekezaji. Lissu apumzike akachukua ajira hata huko Manyoni. Awaache CCM wazidishe shida mpaka machawa waanze kutekwa na kupotea kama wanaokosoa serikali. Hapo ndio wananchi wataamka. Ila kwa sasa uwezo wetu wa kuvumilia shida kwa kigezo cha uzalendo bado upo.
Mjinga ni wewe ambaye kuandika hujui.Nchi hii Kuna wajinga hadi kero.Katika wajinga anaowapigania lissu ni wewe mpaka Leo unamuona Nyerere ni mtu wa maana kumbe ndio mshenzi namba Moja kazi ipo
Don't force a person to act against his conscience. Hata angekuwa Baba yangu ana conscience yk si maamuzi nayo.Ungekua mtoto au ndugu wa lissu usingeandika huu ujinga
Nyerere mjinga ni baba wa taifa lako, ameacha alama njema ya kudumu duniani. Wewe mwerevu ni nani? Umeifanyia nini Tanzania na dunia kwa ujumla?Ndio maana nikasema lissu anapambania wajinga mpaka Karne hii mnamuona Nyerere alikua na akili kumbe ndio mjinga namba Moja kazi ipo
Mimi nimeshabadilisha uraia wa taifa la wajinga Mimi sio mtanzania siwezi kuwa na baba mjinga kama NyerereNyerere mjinga ni baba wa taifa lako, ameacha alama njema ya kudumu duniani. Wewe mwerevu ni nani? Umeifanyia nini Tanzania na dunia kwa ujumla?
Mimi sio mtanzania nimeshabadili uraia siwezi kuwa kwenye taifa la wajingaDon't force a person to act against his conscience. Hata angekuwa Baba yangu ana conscience yk si maamuzi nayo.
This man is Remnant hata kama Mimi na wewe tumepotoka yeye amebaki kukomboa( remnant ni wachache sana). Wajinga na wapumbavu wanahitaji ukombozi na si wale wazima.
Hakuna chama cha kuitoa CCM madarakani isipokuwa CCM yenyewe.Leo mahakamani Lissu ameonekana kakonda sana aisee. Nimejiuliza anachohangaikia ni kipi, anaacha kuungana na CCM kula pesa mpaka kifo chake, anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona anateseka, wanaishia kukomenti "no reform no election" mtandaoni kama wanaangalia muvi.