Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Uzuri Lissu kashastuka anapambania wajinga ikiwemo weweAkili yako ndio imeishia hapo,amekuomba unga wa kula na familia yake ?
Hakika bwashee!Leo mahakamani lissu ameonekana kakonda sana aisee nimejiuliza anachohangaikia ni kipi anaacha kuungana na ccm kula pesa mpaka kifo chale anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona wanateseka wanaishia kukomenti mtandaoni kwamba wanahuzunika hahaha nilichokiona Leo lissu ameshaanza kuona anachokifanya ni ujinga na natarajia akitoka ataacha kurisk maisha yake kisa wajinga tanzania ni Mali ya ccm na hiki chama kitaongoza milele sababu kinaogopwa hivyo kupambana nacho ni kujipalia moto
Akili za mjinga anawaza mkate tu kwenye maisha yake! Hata kristo alisema mtu hatoishi kwa mkate tu! We unaedhani duniani tumekuja kula ugali jina lako litasahaulika mapema kuliko ugali ambavyo jina lake litadumu! Lissu hawazi ugali anafikiria heshima anaiyoipambania nchi yake!Leo mahakamani lissu ameonekana kakonda sana aisee nimejiuliza anachohangaikia ni kipi anaacha kuungana na ccm kula pesa mpaka kifo chale anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona wanateseka wanaishia kukomenti mtandaoni kwamba wanahuzunika hahaha nilichokiona Leo lissu ameshaanza kuona anachokifanya ni ujinga na natarajia akitoka ataacha kurisk maisha yake kisa wajinga tanzania ni Mali ya ccm na hiki chama kitaongoza milele sababu kinaogopwa hivyo kupambana nacho ni kujipalia moto
Aiseee……na wewe mjingaLeo mahakamani lissu ameonekana kakonda sana aisee nimejiuliza anachohangaikia ni kipi anaacha kuungana na ccm kula pesa mpaka kifo chale anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona wanateseka wanaishia kukomenti mtandaoni kwamba wanahuzunika hahaha nilichokiona Leo lissu ameshaanza kuona anachokifanya ni ujinga na natarajia akitoka ataacha kurisk maisha yake kisa wajinga tanzania ni Mali ya ccm na hiki chama kitaongoza milele sababu kinaogopwa hivyo kupambana nacho ni kujipalia moto
Ukiwa ccm ufisadi ni sifa kubwa sana. Badala ya kuona Lissu mzalendo anatetea matumizi bora ya rasilimali za taifa, unamshauri aungane na CCM akaibe mali za umma.Leo mahakamani lissu ameonekana kakonda sana aisee nimejiuliza anachohangaikia ni kipi anaacha kuungana na ccm kula pesa mpaka kifo chale anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona wanateseka wanaishia kukomenti mtandaoni kwamba wanahuzunika hahaha nilichokiona Leo lissu ameshaanza kuona anachokifanya ni ujinga na natarajia akitoka ataacha kurisk maisha yake kisa wajinga tanzania ni Mali ya ccm na hiki chama kitaongoza milele sababu kinaogopwa hivyo kupambana nacho ni kujipalia moto
Mali za umma ni tamu sababu umma wenyewe ndio unaruhusu kuzilaUkiwa ccm ufisadi ni sifa kubwa sana. Badala ya kuona Lissu mzalendo anatetea matumizi bora ya rasilimali za taifa, unamshauri aungane na CCM akaibe mali za umma.
Ccm laana.
What if J.K. Nyerere ange give-up na kuungana na wakoloni kupiga hela?Leo mahakamani lissu ameonekana kakonda sana aisee nimejiuliza anachohangaikia ni kipi anaacha kuungana na ccm kula pesa mpaka kifo chake anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona wanateseka wanaishia kukomenti mtandaoni kwamba wanahuzunika hahaha nilichokiona Leo lissu ameshaanza kuona anachokifanya ni ujinga na natarajia akitoka ataacha kurisk maisha yake kisa wajinga tanzania ni Mali ya ccm na hiki chama kitaongoza milele sababu kinaogopwa hivyo kupambana nacho ni kujipalia moto
Ndio maana nikasema lissu anapambania wajinga mpaka Karne hii mnamuona Nyerere alikua na akili kumbe ndio mjinga namba Moja kazi ipoWhat if J.K.Nyerere ange give up na kuungana na wakoloni kupiga hela?
Lazima kuwapo na watu wa kufight ,jaokuwa nakubaliana na ww kumpigania mtanzania ni shida sana
kudhulumiwa ndio kumkataa. wekeni usawa ndio tujue siasa imemkataaAanzishe Huduma ya Kiroho tu maisha ya Siasa yamemkataa
Usawa Gani upewe nchi inaongozwa kimamlaka tii mamlakakudhulumiwa ndio kumkataa. wekeni usawa ndio tujue siasa imemkataa