Namshukuru Mungu Kwa Kunipa Kibali Cha Kuwa Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi

Hii kali...kumbe ukiwa mwanachama unakuja kujitambulisha JF...
 
Umependeza sana. Hizi sare zinavutia mnp
 
Mungu hahusiki na siasa za vyama
Labda kama unamshukuru Mungu wa ulimwengu huu wa sasa(shetani)
Maana ndie anaehusika na siasa zote duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…