Namshukuru Mungu, nimekamilisha kazi tatu mpaka sasa.

Namshukuru Mungu, nimekamilisha kazi tatu mpaka sasa.

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Wakuu kwema!

Napenda kuwashukuru nyote Kwa namna ya pekee. Mmekuwa sehemu muhimu katika kazi zangu na Maisha yangu. Mungu awabariki Mno.

Katika Kampuni yangu ya Taikon Publisher ambayo inahusika na mambo ya Uandishi katika program yetu ya WritingLife Coaching Programs ambayo imesaidia Vijana wengi hasa waandishi chipukizi katika safari Yao kufikia ndoto ya kuwa waandishi mahiri.
- Huduma za uhariri,
- Uandishi wa tawasifu,
  • Uandishi wa Riwaya, tamthilia, Makala
  • Uandishi wa kidigital
  • Uandishi wa Film- Scripts, Screenplay, n.k

Nashukuru Kwa kukamilisha kazi Tatu za kikubwa; ambazo nitaanza kuzizindua hivi karibuni. Kazi hizi sio simulizi bali ni kazi nilizozifanyia utafiti na uchunguzi makini. Zitakuwa sehemu ya msaada kwako.
Kazi hizo ni pamoja na;
1. Macho ya Adui
2. A dream I forgot in my sleep
3. Women melody (How to make a woman sing)
Hizo ni kazi muhimu Kwa Karne ya 21-22 hasa Kwa Vijana WA kike na kiume.

Pia kuna kazi za burudani ambazo zipo tayari sokoni;
1. Kaburi la Mwanamuziki
2. WAKALA WA SIRI
3. MLIO WA RISASI HARUSINI.
Kila kazi ni Tsh 15,000/=

Mawasiliano,
+255693322300
Robert Heriel
 
FB_IMG_1676781402726.jpg
 
Mwandishi ni kioo cha jamii zingatia hilo unajukumu la kuburidisha na kuelemisha jamii kupitia kazi zako, Kwakufanya hivyo Mungu atakubariki sana.
 
Wakuu kwema!

Napenda kuwashukuru nyote Kwa namna ya pekee. Mmekuwa sehemu muhimu katika kazi zangu na Maisha yangu. Mungu awabariki Mno.

Katika Kampuni yangu ya Taikon Publisher ambayo inahusika na mambo ya Uandishi katika program yetu ya WritingLife Coaching Programs ambayo imesaidia Vijana wengi hasa waandishi chipukizi katika safari Yao kufikia ndoto ya kuwa waandishi mahiri.
- Huduma za uhariri,
- Uandishi wa tawasifu,
  • Uandishi wa Riwaya, tamthilia, Makala
  • Uandishi wa kidigital
  • Uandishi wa Film- Scripts, Screenplay, n.k

Nashukuru Kwa kukamilisha kazi Tatu za kikubwa; ambazo nitaanza kuzizindua hivi karibuni. Kazi hizi sio simulizi bali ni kazi nilizozifanyia utafiti na uchunguzi makini. Zitakuwa sehemu ya msaada kwako.
Kazi hizo ni pamoja na;
1. Macho ya Adui
2. A dream I forgot in my sleep
3. Women melody (How to make a woman sing)
Hizo ni kazi muhimu Kwa Karne ya 21-22 hasa Kwa Vijana WA kike na kiume.

Pia kuna kazi za burudani ambazo zipo tayari sokoni;
1. Kaburi la Mwanamuziki
2. WAKALA WA SIRI
3. MLIO WA RISASI HARUSINI.
Kila kazi ni Tsh 15,000/=

Mawasiliano,
+255693322300
Robert Heriel
Hongera sana na endelea kwani upo kwenye good track ya kuwa mtu mahiri hapo baadaye.
 
Hongera sana Tycoon wa fasihi.

Ngoja tupambane tupate nakala za fasihi andishi
 
Naam, huyo ndimi
Aisee, mtoto mdogo hivi inakuaje unatusumbua na hoja nzito nzito humu?!!!!

Back to the topic, mi mfuasi mzuri wa hadithi zilizopangika, nitavitafuta hivyo nikiamini nitairejesha ile ladha niliyoikosa ya kipindi kirefu ya mwandishi kama M.M. Bawji (kama sikosei) na ile kitu yake, 'Kubali Tuyamalize', 'Zubaa Uzikwe' n.k
 
Back
Top Bottom