Namtafuta binti huyu wa Humu JF Naomba Tuwasiliane


Ndiyo maana nataka kujua nini kilitokea ...maana pia nitajuta sana kama nilimharibia ndoa yake
 
Kuna aibu nyingine sio za kusimulia hata kama wewe ni invisible.
Aisee kwa umri huo mpaka unajua kuendesha gari bado unataja mpaka maeneo anayoishi?? Sasa huyo dada umeamua kumvurugia maisha zaid kuliko huko kumtafuta na kweli mwanaume rijali unatajiwa na mwanamke kuwa yeye ni mke wa mtu bado unashindwa kumsitiri mwanaume mwemzako kwa kukimbiza hilo jini??
Aisee kwa mwanaume mkamilifu hawezi tembea na mke wa mtu hata kama ni ukame ila hilo ni kosa kubwa ambalo gaharama zake ni kubwa kuzibeba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwa kumuangalia na kumsikiliza ,pete ya ndoa kidoleni..anaonekana kabisa ni mke mwema labda tu alizidiwa na shetani
 

Hapa wote ni watu wazima ..kuna kitu gani ambacho ni cha ajabu sana???? acha unafiki wa kijinga
 
Wakati mungine unaweza kujuta kwanini umeoa mke wa namna hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anasali St. Peters.

Siku ya jumatano ya majivu alichelewa kurudi (alirudi saa nne).

Alirudi akiwa amekunywa pombe.

Alipigiwa missed calls nyingi.


Unahisi mwenye mke akiziona hizi details hawezi kuunganisha dots?

- KANA -
 
Nigga you are full of shit.

Ungeweza kuishia pale kwenye kuagiza kitimoto bila kusema kama ni mke wa mtu na akakufuata huko pm.

Kwakua ujinga ni kipaji ukaona umalizia hatua tisa zote.

Hii ni chai. Hakuna mwanaume anayehadithia hivi.
100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…