Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Asante mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu
NakaziaUkimwona mwanamke. Anazungumza madhaifu ya mume wake publicly au hata kwa mtu mwingine basi huyo mwanamke hajui wajibu wake kama mke na hajui nafasi yake katika kumsaidia mumewe pale anapoona weakness
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfyuuuuuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kho kho kho kho kho kho
Ameen baby ndio mana nakupenda mmKwa upole wangu huu tutadumisha ndoa yetu baby.
kutoka: 22D Arnold st.
Ajipange kupima ngoma?,kwa uandishi wake alikula dry tuMkuu hao ni wauza K wa Africa Sana, nao pia wanasali, jipange
Kauona ktk dini ya hakhi!Wengi wenu ndo mlivo mkifikishwa kwenye mautamu, mimi kuna mke wa mtu alinambia ilikuwaje acherewe kukutana na mimi? Maana hajawahi kuona utamu wa dudu kauwona kwangu.
AhahahahHahaha eti fundi POH lol[emoji28]
Wapuuzi tuu hawana lolote,.
Na bado [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeamini wanaume wanapenda sana kudanganywa.
Wanandoa ni wengi sana wanaishi Africa sana na mambo ni mengi mjini hawezi jua mhusika labda izo initial za majina yake, hapo atakuwa ameuaWow..mkaenda kuyamaliza hayo yote mkiwa na majivu yenu kwenye paji la uso
This is amazing..interesting
Hizi ndoa za siku hizi hazina maana..mi nasemaga bila nakandiwa
Bila mtoa mada uko matatani kama umetaja maeneo halisi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kuna muda mtu anaolewa inafikia muda anaona alijichanganya sana bora aitwe Malaya adi Mungu anamchukua kuliko kuwa kwene iyo taasisiKuna baadhi ya vitu ukivisikia hata habari za kuoa sijui kuwa na mke unaeza kuogopa. Safari ya kanisani inageuka kuwa safari ya kwenda kufanya uzinifu na usikute pete alikuwa ameivaa kabisa kidoleni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ukakuta ata uyo binti alikuwa ameshaacha ujinga na utoto ila mumewe akamrudisha alikotoka.......kama alikuwa nye*g*e inamaana hawana mahusiano mazuri ya kimahaba na mwenzie.....Najaribu kutafakari kama ni kweli hii story.
Jaman kabla hatujaoa/kuolewa tuhakikishe tumeshamaliza ujinga na utoto.
La sivyo tutauana bure.
Hata wanaume wanapenda sana kukandia wake zao kwa mahawaraImagine wewe ndo mkeo anakukandia, wanaume tuache kutongoza wake za watu haipendezi, hivi akiachwa na mumewe utamuoa?
Na inaweza kuwa pia ni real story, kuna mambo huwa yanatokea mtu unabaki kujiuliza story za magazetini kumbe ni uhalisiaHii story haina uhalisia ni ya kufikirika tu
Chonde chonde binti naomba tuwasiliane ni muhimu kuliko mapovu ya wanafiki humu ndani ,ikiwezekana tuonane kabla sijasafiri jumatatu ..nahitaji zile connections na contacts ambazo ulisema utanipa......tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo yaone kama yalivyo kuna jamaa mmoja tulikuwa tunafanya nae kazi ni mlokole haswaaa, tulienda tunduma akataka kumbaka mdada wa usafi wa lodge tena asubuhi kabisa, nilishangaa sana
Huyu mtu wala sio Mkristo wala Mkatoliki. Anajaribu ku-provoke watu. Kwamba jumatano ya majivu watu(wakiwemo wanandoa) wanaenda kanisani na wakitoka wanaendeleza uzinzi. Hata iweje mtu akifanya uovu kama huo hawezi kuja kusimulia mtandaoni hata kama hujulikani.