Namtafuta Mama Yangu popote alipo

Hata kama sio mama yako fikiria angekutelekeza je,ungekua wapi sasa hivi?
 
Mam yako alisak mume
Na yupo kwa mume wake
Na alificha kuw hawajah kuw na mtoto
 
Watoto wa siku hizi akikanywa kuacha kula ugoro akishushia visungura anaona hapendwi
Mkuu muogope Mungu, usiishi kumchumia mtu dhambi hayo unayoyasema Mimi situmii na sijihusishi na hivyo vitu mboni hauelewi halafu mimi sio mtoto wa siku hizi kwa hio sahihisha hapo mkuu
 
Malezi ya watoto wanyoa viduku na uvaaji wa viskin jeans ni kazi sana, saivi mtoto akikanywa kidogo ajirekebishe kauli ndio kama hizo na wengine hufikia hatua ya kujiua, juzi tumezika binti wa miaka 17 kisa mama kamgombeza upumbavu aliofanya
 
Malezi ya watoto wanyoa viduku na uvaaji wa viskin jeans ni kazi sana, saivi mtoto akikanywa kidogo ajirekebishe kauli ndio kama hizo na wengine hufikia hatua ya kujiua, juzi tumezika binti wa miaka 17 kisa mama kamgombeza upumbavu aliofanya
Bro nakuheshimu sana na naheshimu mawazo yako na mtazamo wako uwe hasi au uwe chanya, ila tu usinishutumu kwa vitu nisivyovifanya halafu Mimi sio Mtoto tena nimekua mtu mzima sasa ila nilichoandika hapa ukielewe km kuna Mama aliwahi kumtelekeza mwanae sehemu na yupo anaishi ajue mwanae yupo hai na ameshagundua Mama aliehisi ni Mama yake miaka yote zaidi ya 30 sio Mama yake
 
Unapaswa pia kuwa na shukrani kama huyo mama amekulea kwa miaka 30 sasa ukiwa hujui ni mengi mazuri amekutendea hupaswi kuhesabu mabaya 10 ukaacha mema mia tano.....zamani kuna jamii flani ilikuwa inanunua watoto wa kiume kama akijikuta amezaa watoto wa kike tu kwaivo anaenda kwa zile familia duniiii anaona kabisa huyu haezi lea mtoto wananunua katoto kachanga kakiume ili aje kuwa kijana wa kurithi mali wakiamini mtoto wa kike hafai kumiliki kitu zaidi ya kuolewa...
 
Nimesoma hapo kuna mtu umemjibu eti kwasabu hajui kutunza siri,.

Sidhani kama kuna wamama wakibongo wanaweza kutunza visiri siri😵‍💫😵‍💫, huyo ni mama yako mkuu
 
Malezi ya watoto wanyoa viduku na uvaaji wa viskin jeans ni kazi sana, saivi mtoto akikanywa kidogo ajirekebishe kauli ndio kama hizo na wengine hufikia hatua ya kujiua, juzi tumezika binti wa miaka 17 kisa mama kamgombeza upumbavu aliofanya
Wajinga wajinga tu
 
Unasema sio mama yako kisa hana tabia kama zako??

Hiyo ni kawaida na kuna tabia zipo zaidi kwa wanawake na sio wanaume. Inabidi uelewe kua mama yako ni mwanamke na sio mwanaume kama wewe na baba yako..

Wazazi huwa wanazingua sana sometimes ila haiondoi tittle yao ya kua ni wazazi. Mapito yao na yako ni tofauti, si ajabu elimu yako na yao ni tofauti, jinsi wewe unachukulia mambo na wao ni tofauti.

Wewe ni mkimya mama ni muongeaji hapo pia kuna utofauti .
 
Sawa kaka Ila kama unahisi si mama yako kwa ajili ya vitendo vyake unaweza kukosea kwa sababu kila mama ana tabia zake za kibinadamu Ila kama unahisi si mama yako kutokana na viashiria flani solid. Then waulize wakubwa wa ukoo wako, lazma wanajua

Japo kila geti ambalo limefungwa mbele yako kwa muda mrefu bhasi ujue kuna gharama utailipia kulifungua. Na kikubwa zaidi, usisahau wema wa huyo mama hata kama ni mdogo kwa kiasi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…