Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
SawaDhana mbaya tu.Mitandao imeletwa na mwenyewe aliyetuumba. Kwenye mtandao unaweza kupata ambacho huwezi kukipata kwengine mitaani na kinyume chake inawezekana.Muhimu anza na dua ukianza kupenda.
Amyn, unajua kuna vihatua fulani unaweza kupitia hamu yote ya maisha ikatoweka.Allah atafanya wepesi, nina rafiki nae aliongeza wapili vitimbi vimekua vingi sasa hivi anajisemea anatfta rizki tu
Ninayoyaona kwenye hili game:-Si kwamba mume wa dada yangu kapotea ndio namtafuta, hapana. Ni kwamba dada yangu hana mume na natafuta atakayekuwa tayari na atakayefaa kumuoa.
Dada yangu amewahi kuolewa na ana mtoto mdogo. Ni mzuri wa umbo na mcheshi sana. Tangu alipoachika amejishughulisha kutafuta riziki zake za halali mpaka amefanikiwa kujenga kijumba chake.
Anachotaka sasa ni mume wa kuishi naye kwenye nyumba yake na kumpatia huduma akitamani kuzaa mtoto mwengine haraka. Mwenyewe huwa nampatia huduma zote muhimu isipokuwa moja ndio naomba msaada.
Umri wake ni miaka 32 na ukewenza si tatizo kwake ilimradi mume awe muwajibikaji.
Sharti moja muhimu la huyo mume mtarajiwa awe ni muislamu na mwenye kufanya ibada vizuri. Ambaye yuko tayari awasiliane nami binafsi ndani ya boksi tuone wapi pa kuanzia.
Dada mwenyewe ni mmoja katika hao hapo chini.
Kwanini usimuamini mtoa mada, ya nini kudhania jambo?Ninayoyaona kwenye hili game:-
1. Huyu kijana ni mume wa huyu dada ila kuna sintofahamu kati yao.
2. Huyu kijana anaunda zengwe ili amfumanie mke wake waachane rasmi.
3. Atakayejichanganya Kwa huyu mwanamke atafumaniwa,atapigwa hela na kisamvu kitaliwa.
UsijeAah kweli akhy sema haya mambo kwa sasa nimekosa interest kabisa nahisi nimepata tatizo gani sijui, nimekinai tuseme.
Dhana mbaya hii ,,mtu mwenye akili za sawa hawezi kutengeneza Hilo ombweNinayoyaona kwenye hili game:-
1. Huyu kijana ni mume wa huyu dada ila kuna sintofahamu kati yao.
2. Huyu kijana anaunda zengwe ili amfumanie mke wake waachane rasmi.
3. Atakayejichanganya Kwa huyu mwanamke atafumaniwa,atapigwa hela na kisamvu kitaliwa.
Mie hata kusimamisha sitoweza sembuse kupata usingizi?Hivi Nyumba aliyojenga mwanamke unathubutu kuingia Ulale usingizi kama Baba wa familia kweli?
Mpeleke AfghanistanSi kwamba mume wa dada yangu kapotea ndio namtafuta, hapana. Ni kwamba dada yangu hana mume na natafuta atakayekuwa tayari na atakayefaa kumuoa.
Dada yangu amewahi kuolewa na ana mtoto mdogo. Ni mzuri wa umbo na mcheshi sana. Tangu alipoachika amejishughulisha kutafuta riziki zake za halali mpaka amefanikiwa kujenga kijumba chake.
Anachotaka sasa ni mume wa kuishi naye kwenye nyumba yake na kumpatia huduma akitamani kuzaa mtoto mwengine haraka. Mwenyewe huwa nampatia huduma zote muhimu isipokuwa moja ndio naomba msaada.
Umri wake ni miaka 32 na ukewenza si tatizo kwake ilimradi mume awe muwajibikaji.
Sharti moja muhimu la huyo mume mtarajiwa awe ni muislamu na mwenye kufanya ibada vizuri. Ambaye yuko tayari awasiliane nami binafsi ndani ya boksi tuone wapi pa kuanzia.
Dada mwenyewe ni mmoja katika hao hapo chini.
Hayo ni mambo ya wahuni na hayawezi kuletwa hapa JF yanaishia huko huko mitaani hapa tunasoma visa tu.Ninayoyaona kwenye hili game:-
1. Huyu kijana ni mume wa huyu dada ila kuna sintofahamu kati yao.
2. Huyu kijana anaunda zengwe ili amfumanie mke wake waachane rasmi.
3. Atakayejichanganya Kwa huyu mwanamke atafumaniwa,atapigwa hela na kisamvu kitaliwa.
MashAllah!! 🥰Si kwamba mume wa dada yangu kapotea ndio namtafuta, hapana. Ni kwamba dada yangu hana mume na natafuta atakayekuwa tayari na atakayefaa kumuoa.
Dada yangu amewahi kuolewa na ana mtoto mdogo. Ni mzuri wa umbo na mcheshi sana. Tangu alipoachika amejishughulisha kutafuta riziki zake za halali mpaka amefanikiwa kujenga kijumba chake.
Anachotaka sasa ni mume wa kuishi naye kwenye nyumba yake na kumpatia huduma akitamani kuzaa mtoto mwengine haraka. Mwenyewe huwa nampatia huduma zote muhimu isipokuwa moja ndio naomba msaada.
Umri wake ni miaka 32 na ukewenza si tatizo kwake ilimradi mume awe muwajibikaji.
Sharti moja muhimu la huyo mume mtarajiwa awe ni muislamu na mwenye kufanya ibada vizuri. Ambaye yuko tayari awasiliane nami binafsi ndani ya boksi tuone wapi pa kuanzia.
Dada mwenyewe ni mmoja katika hao hapo chini.
Hhhhhhhhh sahau babu mengine ayo
Nani kalne hii aoe mwanamme anayeishi kwenye mashuka meusiHuko hakumhusu. Iwapo wewe unaishi huko na unamtaka nenda naye.
Allah akufanyie wepesi katika Hilo biidhinih.Mitambo haijajiseti vizuri ili tupate mkate wa asubuhi na jioni