Namtafuta pacha wangu wajameni...nani kanioneamo??

Unalo leo...ulidhani hawakuoni??

ahahahahha erick usifanye pacha wangu akapata wehu wewe!
kinyumba wakati hata mahari hajala?
kwani uliniona wakati nampelekea mtu maji bafuni!?
lione!
 
Mzee kasema uko na Bishanga...
Na mimi ndo naconnect dots..zinaconnectikaje????


jamani haya majibu haya mnaweza kuandika taarifa ya tanzia humu muda si mrefu!
we Mzee unataka pacha wangu apate kifaduro!?
uconnect dots gani sasa?
pacha mwaya watu ni wachimvi sana !
usiwasikilize mwayego!
nimekuja mimi hapa!
 
Last edited by a moderator:
We jichanganye tu..ujue mwishoni kitaeleweka tu
Na mama snowhite unamjua...
We haya tu...

yani hapo paaacha nilikuwa nashangaa umeniuliza EMT yuko wapi!
nikajua umeambiwa nilikuwa nae!
mi nikawa nimeuliza tuuuu jamani! mwe!
 
Last edited by a moderator:
Na mimi ndo nimeuliza tu..
Kwani EMT unamjua??...kwii kwii kwii


yani hapo paaacha nilikuwa nashangaa umeniuliza EMT yuko wapi!
nikajua umeambiwa nilikuwa nae!
mi nikawa nimeuliza tuuuu jamani! mwe!
 
Last edited by a moderator:
Kaizer ..upo mwanafunzi mwenzangu??
Mwalimu mwenyewe kumbe alikuwa kawekwa unyumba..kasema Erickb52
Sijui kama kipindi kitaenda??
ish yani sa we kwani umemuamini huyu tapeli la arusha?
ehehhehehhe KWANZA nna kesi nae siku nying sana huyu!
sishangai yamtoke yote haya!
 
Na mimi ndo nimeuliza tu..
Kwani EMT unamjua??...kwii kwii kwii
EMT bana ni partner wangu !
pacha kwanza inabidi nikukutanishe nae si unajua nina share zangu 50%
sasa if anything happens ujue utapataje gawio lako! EMT NAOMBA AUDIENCE!
 
Last edited by a moderator:
Mbona nasikia kuwa snowhite kakata undugu na wewe?
Muombe mwenyekiti Baba V akusaidie kumtafuta kwenye ulimwengu wa nyota
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…