Namtafuta pacha wangu wajameni...nani kanioneamo??

Nenda kamkorogee Bishanga Glucose apate nguvu ya kuja Jukwaani.

Bishanga nilikuonya uachane na hawa watoto wa digitali. Watakuua.
 
Last edited by a moderator:
Kwa dalili hizi naona undugu wetu uko mashakani..siku tatu..afu leo baada ya kumsaka sana ndio anaibuka!
Baba V nshamuambia..au unanificha alikuwa kwa Mtambuzi??

Mbona nasikia kuwa snowhite kakata undugu na wewe?
Muombe mwenyekiti Baba V akusaidie kumtafuta kwenye ulimwengu wa nyota
 
Last edited by a moderator:
pacha ujue mi nalia huku!
siamini kuwa unaweza ukaamini maneno ya watu kiasi hiki!
watu wenyewe kina Bujibuji kweeeeeli?
yani mi ni wa kuvunja undugu na wewe!
ehehehhehhe nakata rufaa kwa mama!
speeking of it hivi mwezi huu si ni november?au?
 
Last edited by a moderator:
Ujue hatujakutana barabarani...

pacha ujue mi nalia huku!
siamini kuwa unaweza ukaamini maneno ya watu kiasi hiki!
watu wenyewe kina Bujibuji kweeeeeli?
yani mi ni wa kuvunja undugu na wewe!
ehehehhehhe nakata rufaa kwa mama!
speeking of it hivi mwezi huu si ni november?au?
 
kwani ulijificha wapi mlongo wangu?
za lelu!

Daada ngati ubwelili najua hili litafikia hitimisho tuuu!
yani kweli mi naweza kuwekwa kinyumba bila wewe dada mkubwa kupeleka lijamanda kweeeli!
yani pacha wangu asijue na dada mkubwa asijue kweli maneeno haga?
nikosiwi tu kamwaaali kumwambia pacha wangu!ila weeengo yenyew maisha mbona yatakuwa magumu!
:disapointed:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…