Wanachitchat leo ni karibu siku ya tatu sijamuona pacha wangu.
Hivyo kwa heshima na taadhima ninaomba atakayemuona ampeleke kwenye laptop, simu, computer au kwenye tablet yeyote yenye application ya jf!
Wasifu wake
Jina: snowhite
Kabila: zamani alikuwa mhaya ila kabadili kawa mhadzabe siku hizi
Dini: Anasali kwa Gwajima
Umri: Wa kutosha kuolewa
Rangi: Ya chungwa
Maeneo anayopenda kutembelea: MMU, Chitchat, kidogo na kule chini kabiiiiisa
c.c EMT, Fixed Point, Mr Rocky, shansarie, Bujibuji, Erickb52, Baba V........
maneno ya erick yanaweza kuwa na uzito kuliko ya kwangu,KWEEELI?
Mara kibao namuona na Evelyn Salt kule jukwaa la mambo yetu yale....
sasa si yanakuwa kama ya "coalition of the willing" na JK na hotuba yake B ungeni?
Mara kibao namuona na Evelyn Salt kule jukwaa la mambo yetu yale....
ndo mimi nilishangaa, lol!Daada ngati ubwelili najua hili litafikia hitimisho tuuu!
yani kweli mi naweza kuwekwa kinyumba bila wewe dada mkubwa kupeleka lijamanda kweeeli!
yani pacha wangu asijue na dada mkubwa asijue kweli maneeno haga?
nikosiwi tu kamwaaali kumwambia pacha wangu!ila weeengo yenyew maisha mbona yatakuwa magumu!
:disapointed:
mi sawa nataka kusamehewa lakini sitaki kusamehewa hili kosa!
ah... binamu hapana, mimi ni mpitaji tu....Binamu kule hukosagi
ndo mimi nilishangaa, lol!
af wewe!ah... binamu hapana, mimi ni mpitaji tu....
hapo nilipo bold napaogopa,unatokea zanzibar au baara?maana dah.......chini?
Sasa hao umiwajuaje kama kule chini ..chini kule huendagi?
Kwenda sio kosa ila ukumbukage kuwa na mimi kakaako napitamo huko mara mojamoja...
Sasa fikiria ndio tumegongana kwenye msiredi wa SILENT WHISPER au funza dume..lolz
unatumia kinywaji gani Daudi!
sema tu bili kwa pacha wangu!
af wewe!
ehehhehehh nacheka kwa uchungu hapa!
ngoja niweke ya home kwetu vizuri af utantambua!
mtihani wa form four sijasahihisha ujue!
na bado hakujaamuliwa ziro ifutwe au ibaki!
sasa wewe endelea!
sitaona hasara kukupa division Six ujue!
subiri!
kaizer kaizer kwani lini niliacha kukufundisha somo la uvumilivu hasa nyakati kama hizi mwalimu akiwa na vipindi huku na huku!
basis ema neno tu na mwanafunzi wako atatulia.....