Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Status
Not open for further replies.
Atafutiwe mchumba, yeye mwenyewe hawezi kutafuta? Akipatikana mchumba huenda ataomba tena usaidizi katika hayo maisha ya ndoa.
 
Kuna watu pia wanatamanj kutafutiwa mkuu na ni wanaume..so kila kitu kinawezekana
 
Simtaki rafiki yako, nakutaka wewe mleta Uzi, upo tayari?
 
Unique Flower unamhitaji Yesu akutulize mwanangu.
Uko resi sana, nakuombea ubadilishwe, haya ni maombi yangu;
-ufanywe kiumbe kipya
-ubadilishwe mtazamo
-uwe mcha Mungu
Pokea maimbi hayo
Nakukabidhi kwa dada zako hawa wakuombee pia
Carleen
Chakorii
Sipo resi hata nipo okay kabisa siitaji maombi mie ni mtoto wa mchungaji mie Ndio nikuombee utulie uachie vijana ligi hii ubadilishwe mtazamo, uwe mcha Mungu kamili maana hapo mguu mmoja nje na mmoja ndani
Nakukabidhi Kwa Mungu Pekee binadamu hawawezi kukubadilisha
 
Umri unanikosesha mke. Kupitia mwandiko wako huyu mwanamke anaonekana anajielewa sana.
Kila la kheri kwake.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mtoto wa pastor?
Yule kibabu umemwacha?🤣🤣🤣
Mimi nimebadilika Unique Flower
 
Mkuu, kama hiyo picha ya avatar ni yako, em njoo inbox chap😁
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…