Namtafutia mwanangu nafasi ya shule ya serikali form one 2025

Chiclette

Senior Member
Joined
Feb 17, 2024
Posts
133
Reaction score
222
Aisee hizi selection za ajabu sana, mwanangu Ako na A zooote na amepangwa shule ya changanyikeni tu na amemaliza shule ya serikali, japo Kuna wenzake unakuta Wana A nne lakini wapepangwa shule teule, kiukweli inakatisha tamaa. Shule alomalizia ni Dsm wilaya ya ilala, sasa ni hivi Mimi natafuta nafasi shule ya bweni iwe nzuri kidogo kitaaluma, mi najua humu mnajuana na walimu wengi na Kuna walimu pia........
Ya soda ipo kama utataka, ntashukuru kama ntapata nafasi aisee!!!
 
fanya kumleta Waja boys Geita hutojutia

Back
Top Bottom