Be calm
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 3,766
- 8,959
Mbeya,shule ya Garijembe ipo good kuanzia mazingira...ila masweta tu muhimuMIMI NATAFUTA GOVERNMENT BOARDING..MTOTO WANGU WA KIKE.
NB: YA CHAI TZS:500,000/= NIKO TAYARI KUTOA ...NIKO DSM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeya,shule ya Garijembe ipo good kuanzia mazingira...ila masweta tu muhimuMIMI NATAFUTA GOVERNMENT BOARDING..MTOTO WANGU WA KIKE.
NB: YA CHAI TZS:500,000/= NIKO TAYARI KUTOA ...NIKO DSM
Najua Hilo. Ila kwa hii shule hapana, kwanza ni wahuni wanachomana visu siku za michezo ijumaa hasa Hawa form one, pili, mwaka 2018 shule ilikuwa ya tatu kutoka mwisho kitaifaMpeke huko huko alikochaguliwa, fainal watakutana mbele, Mimi nimesoma st kayumba kianzia primary had advance na finaly tulikutania Udsm tukakaa lecture room moja na kukimbizana kwenye kutafta cozwork..... suala sio kutafta shule nzuri andaa mazingira ya kipi afanye baada kumaliza shule, wapo walilata hizo bahati za kusoma mashule hayo ila kama wazazi wao hawakuandaa mazingira mazuri baada masomo yao tuko nao tunapiga saidia fundi humu mitaani. Kama kijana anajua,ni anajua tu hakuna cha kumkwamisha mimi nimesoma olevel shule inafaurisha mtoto mmoja wakienda sana wawili tu tena divission za kuchechemea ila tulipenya humohumo...2012 mwaka wa standardization akapenya my bro peke yake shule nzima, na next year 2013, tukapenya watatu shule nzima nikiwemo mimi pia, tulienjoy sana na kujiona washindi bro alienda maji ya chai huko Arusha mi next year nikaenda TUKUYU DAY Mbeya na wote tulikuja kukutania UDSM mi na bro, tukakutana na hao walionda huko mabordings na mavipaji maalum ila nilichojifunza ni kwamba badala ya kuwekeza mwanao apate elimu bora ni bora uwekeze mwanao apate mazingira bora baada ya Elimu.
Hakuna tofauti kati ya aliyesoma shule "Teule" na yule aliyesoma "changanyikeni" wote watakutana chuo kikuu wote watapokea mkopo wote watahangaika kutafuta kazi .Aisee hizi selection za ajabu sana, mwanangu Ako na A zooote na amepangwa shule ya changanyikeni tu na amemaliza shule ya serikali, japo Kuna wenzake unakuta Wana A nne lakini wapepangwa shule teule, kiukweli inakatisha tamaa. Shule alomalizia ni Dsm wilaya ya ilala, sasa ni hivi Mimi natafuta nafasi shule ya bweni iwe nzuri kidogo kitaaluma, mi najua humu mnajuana na walimu wengi na Kuna walimu pia........
Ya soda ipo kama utataka, ntashukuru kama ntapata nafasi aisee!!!
Najua Hilo, lakini unaijua shule aliyopangwa? Unafikiri angepangwa shule ya kawaida ila Ina afadhali ningehangaika? Probability ya kufeli ni kubwa kuliko kufaulu.....Hakuna tofauti kati ya aliyesoma shule "Teule" na yule aliyesoma "changanyikeni" wote watakutana chuo kikuu wote watapokea mkopo wote watahangaika kutafuta kazi .
Shule "teule" ni kwa nchi za wenzetu si hapa bongo kule kuna jamii kama MENSA hawa wakigundua tu mtoto hata kama ana mwaka mmoja ila ameonesha uwezo mkubwa wa kiakili kuna namna wanakuja kumtahini kisha wakijiridhisha anajiunga na MENSA kisha anaaanza kusoma masomo maalum kutokana na kipaji chake na anaajiriwa kwenye kazi maalum.
Bongo ukifuatilia tu hawa T.O wanapoishia unabaki kusikitika , hakuna mfumo wowote mzuri uliowekwa kuwafanya waonekane tofauti na wengine acha kujiumiza kichwa mwache mtoto asome .
Nicheck nikuungie mahali kama hutojali na namba ya simuAisee hizi selection za ajabu sana, mwanangu Ako na A zooote na amepangwa shule ya changanyikeni tu na amemaliza shule ya serikali, japo Kuna wenzake unakuta Wana A nne lakini wapepangwa shule teule, kiukweli inakatisha tamaa. Shule alomalizia ni Dsm wilaya ya ilala, sasa ni hivi Mimi natafuta nafasi shule ya bweni iwe nzuri kidogo kitaaluma, mi najua humu mnajuana na walimu wengi na Kuna walimu pia........
Ya soda ipo kama utataka, ntashukuru kama ntapata nafasi aisee!!!
Ushauri bora kabisa mkuu shida wazazi wengi bado ni malimbukeni , hawana ufahamu wa haya mambo piga picha T.O woote miaka yote wameishia wapi? Wengi ni walimu wa tuisheni na wengine wameajiriwa kazi hizi hizi wanazopata hawa wa shule za kata .Mpeke huko huko alikochaguliwa, fainal watakutana mbele, Mimi nimesoma st kayumba kianzia primary had advance na finaly tulikutania Udsm tukakaa lecture room moja na kukimbizana kwenye kutafta cozwork..... suala sio kutafta shule nzuri andaa mazingira ya kipi afanye baada kumaliza shule, wapo walilata hizo bahati za kusoma mashule hayo ila kama wazazi wao hawakuandaa mazingira mazuri baada masomo yao tuko nao tunapiga saidia fundi humu mitaani. Kama kijana anajua,ni anajua tu hakuna cha kumkwamisha mimi nimesoma olevel shule inafaurisha mtoto mmoja wakienda sana wawili tu tena divission za kuchechemea ila tulipenya humohumo...2012 mwaka wa standardization akapenya my bro peke yake shule nzima, na next year 2013, tukapenya watatu shule nzima nikiwemo mimi pia, tulienjoy sana na kujiona washindi bro alienda maji ya chai huko Arusha mi next year nikaenda TUKUYU DAY Mbeya na wote tulikuja kukutania UDSM mi na bro, tukakutana na hao walionda huko mabordings na mavipaji maalum ila nilichojifunza ni kwamba badala ya kuwekeza mwanao apate elimu bora ni bora uwekeze mwanao apate mazingira bora baada ya Elimu.
Hoja yangu ni kwamba asilimia ya kufaulu ni ndogo sanaUshauri bora kabisa mkuu shida wazazi wengi bado ni malimbukeni , hawana ufahamu wa haya mambo piga picha T.O woote miaka yote wameishia wapi? Wengi ni walimu wa tuisheni na wengine wameajiriwa kazi hizi hizi wanazopata hawa wa shule za kata .
Ishu ni kwamba kama nchi bado hatujaweza kufikia hatua ya kuwainua wa vipaji ili vipaji vyao vitumike kwa maslahi ya nchi nzima , wa vipaji wanaishia kupata sifa ya kwenda bungeni tu na kutangazwa na vizawadi zawdi lakini wote wanakutana chuo kikuu na wote wanakuwa sawa hii inawa affect sana kisaikolojia hasa mtu akifikia alikuwa ni "A" student toke shule ya msingi.
Isaga ku_pm mkuuMbeya,shule ya Garijembe ipo good kuanzia mazingira...ila masweta tu muhimu
Mi Sina msaada mkuu,we njoo mbeya panda gari uyole au nanenane wambie wakushushe kwenye kituo Cha Garijembe secondary nauli 1500Isaga ku_pm mkuu
Kataa rushwamtoto ni bright sana huyo nenda ilboru pale wape ya chai dogo asome pale
😂😂😂😂😂😂😂Kataa rushwa
Usitoe wala kupokea rushwa
Rushwa ni adui wa haki
Kwanza mpe hongera sana mwanao kwa kufanya vizuri.Inaonekana hujanielewa, vipi kwa hao wenye A tatu na bado wakapangiwa shule teule na wote amehitimu nao darasa Moja? Ingekuwa wote hawajapangwa nisingekuwa na wasiwasi
wanadai wanawapangia shule za ovyo ili kwenda kuziinua kiufaulu hizo shule. Kama Liwiti si ni shule mpya hiyo.Yaani wewe ni kama umeniongelea mimi mkuu-eti mtoto ana A' zote halafu wanampangia Liwiti.?...like seriously !
Ahsante, una namba ya mkuu wa pale?Kwanza mpe hongera sana mwanao kwa kufanya vizuri.
Ila kiufupi mwanao amepata A za kichovu yaani A za mwanzoni. Wakati hao watoto wenye A nne wamepata A kali yaani zile A karibu na 100% na B kali yaani zile za karibu na 75%
Sasa utaona mwanao ana A nyingi ila ukitafuta jumla ya marks zao utaona yupo chini kuliko hao walopata A nne.
Mfano.
Mwanao: 75%, 76%, 77%, 78%, 79% na 80% (ana A sita na jumla ya alama 465)
Mwingine: 98%, 97% 95% 98% 74% na 73% (ana Anne na B mbili, na jumla ya alama 535)
Mpeleke mwanao Ifunda Technical ipo Iringa akashindwe mwenyewe.
Basi waziboreshe hizo Zingine ziwe za kueleweka, napo hawataki😂wanadai wanawapangia shule za ovyo ili kwenda kuziinua kiufaulu hizo shule. Kama Liwiti si ni shule mpya hiyo.
Mwaka jana mwanangu alipata A zote na kutupwa Msimbazi. Nikamuendeleza huko huko private alikomalizia msingi.
Waongeze shule nzuri sasaA zote siku hizi sio issue maana wanafaulu wengi wenye A zote.
Ondoka Na Huu Ushauri Nadhani Utaendelea Kujifunza Vingi MnooBrother sikia nikwambie. Wakati mwingine ni kujiamini kwako tu. Kwa mfano ; unaenda pale shule hujuani na yyt unaulizia mtaaluma au mkuu wa shule, unajitambulisha vizuri kisha unamuelezea shida yako kwa kina sana! Huwezi jua pengine kujuana naye kukaanzia hapo hapo.
Kijana wangu alipangiwa shule Mkoa wa Manyara A level , nikaenda shule fulani Singida sijuani na mtu yyt, nikamuulizia academic master, nikaingia ofisini kwake nikajitambulisha kisha nikamuelezea shida yangu kinaga ubaga. Alinihoji mwasawali nikamjibu na cha kushangaza akanisaidia kwa kuniunganisha na mkuu wa ile shule kule Manyara ,uhamisho ukafanyika bila shida.
Wakati mwingine hofu inatukosesha mambo mazuri
Hii shule nilinyimwa nafasi nikamrudisha dogo shule Ile Ile ya kata nashukru alifanya vyema now anaingia six PCBMi Sina msaada mkuu,we njoo mbeya panda gari uyole au nanenane wambie wakushushe kwenye kituo Cha Garijembe secondary nauli 1500