Namtafutia mwanangu nafasi ya shule ya serikali form one 2025

Be aware na matapeli pia
Matapeli how ?

Maake kwenye ishu za shule huwezi toa hela mpaka uone uhamisho umekubalika toka shule aendayo

Ndipo huku shule ya awali waruhusu kutoa uhamisho na akifuata taratbu za uhamisho ikiwa ni mikoa tofauti

Sidhani kama ni rahisi maake watu wako aware na issue za utapeli

Ila azingatie ushauri wako
 
Wale wanasemaga jela ni shule hakikisheni hawaoni hii post.. 🙋🏻‍♂️
 
Aisee hizi selection za ajabu sana, mwanangu Ako na A zooote na amepangwa shule ya changanyikeni tu na amemaliza shule ya serikali, japo Kuna wenzake unakuta Wana A nne lakini wapepangwa shule teule, kiukweli inakatisha tamaa. Shule alomalizia ni Dsm wilaya ya ilala, sasa ni hivi Mimi natafuta nafasi shule ya bweni iwe nzuri kidogo kitaaluma, mi najua humu mnajuana na walimu wengi na Kuna walimu pia........
Ya soda ipo kama utataka, ntashukuru kama ntapata nafasi aisee!!!
Kigezo cha selection ni jumla ya maksi hadi 300. Mwanafunzi anaweza kupata wastani wa "A" kwa 81 x 6 = 246. Katika gepu la maksi 54 kitaifa ni watoto wengi sana! Ushauri wangu kuwa mpole!
 
Shida ni nafasi ndo maana nimekuja humu, ukienda wanakwambia mpaka asome miezi mitatu, ila ukiwa unajuana na mtu inawezekana kuhama bila hyo miezi mitatu
Brother sikia nikwambie. Wakati mwingine ni kujiamini kwako tu. Kwa mfano ; unaenda pale shule hujuani na yyt unaulizia mtaaluma au mkuu wa shule, unajitambulisha vizuri kisha unamuelezea shida yako kwa kina sana! Huwezi jua pengine kujuana naye kukaanzia hapo hapo.

Kijana wangu alipangiwa shule Mkoa wa Manyara A level , nikaenda shule fulani Singida sijuani na mtu yyt, nikamuulizia academic master, nikaingia ofisini kwake nikajitambulisha kisha nikamuelezea shida yangu kinaga ubaga. Alinihoji mwasawali nikamjibu na cha kushangaza akanisaidia kwa kuniunganisha na mkuu wa ile shule kule Manyara ,uhamisho ukafanyika bila shida.

Wakati mwingine hofu inatukosesha mambo mazuri
 
Kigezo cha selection ni jumla ya maksi hadi 300. Mwanafunzi anaweza kupata wastani wa "A" kwa 81 x 6 = 246. Katika gepu la maksi 54 kitaifa ni watoto wengi sana! Ushauri wangu kuwa mpole!
Inaonekana hujanielewa, vipi kwa hao wenye A tatu na bado wakapangiwa shule teule na wote amehitimu nao darasa Moja? Ingekuwa wote hawajapangwa nisingekuwa na wasiwasi
 
Sawa Brother, nitalifanyia kazi
 
Back
Top Bottom