Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na niwagumu kweli...au dau nao ulitoa dogo?Hii shule nilinyimwa nafasi nikamrudisha dogo shule Ile Ile ya kata nashukru alifanya vyema now anaingia six PCB
Nipatie kakaMzumbe vipi nikupe namba ya mkuu wa shule?
Shukran kwa kunikumbusha hilo, ila naamini mfano wangu umeeleweka vyema.Ahsante, una namba ya mkuu wa pale?
Alafu A primary ni 81 ambayo ni 41/50
NipatieMzumbe vipi nikupe namba ya mkuu wa shule?
Sawa kaka Haina shida, nimekuelewaShukran kwa kunikumbusha hilo, ila naamini mfano wangu umeeleweka vyema.
Ngoja niangalie kama nna namba ya mwalimu yeyote pale then ntakutumia.
Shida usafiriAchana na issue za boarding mpeleke Dar es salaam secondary pale atoke na division one point 7 aende zake special school
Iriksongo Monduli,ipo chini ya chuo cha Monduli TTC walimu wa kutosha scienceMIMI NATAFUTA GOVERNMENT BOARDING..MTOTO WANGU WA KIKE.
NB: YA CHAI TZS:500,000/= NIKO TAYARI KUTOA ...NIKO DSM
Primary A ni kuanzia 81 ambayo ni marks 40.5. Marks za juu shule za msingi 50. Yaani akipata 100 wanagawa kwa 2 yaani (100/2=50). Ebu tulinganishe wanafunzi hawa wawili: Labda tuseme hivi somo 1 kapata A ya 100x1=100. Masomo 5 mengine kapata B za 80x5=400. Ukijumlisha 100+400=500. Ukigawa 500/2=250. Wakati huo huo tuchukulie wastani wa chini kwa aliyepata masomo yoote A ni 81x6=486. Ukigawa 486/2=243. Kwahiyo utakuja kuona huyu kapata masomo yoote A lakini jumla ya maksi yuko chini kuliko huyo aliyepata A moja tu!. ChicletteKwanza mpe hongera sana mwanao kwa kufanya vizuri.
Ila kiufupi mwanao amepata A za kichovu yaani A za mwanzoni. Wakati hao watoto wenye A nne wamepata A kali yaani zile A karibu na 100% na B kali yaani zile za karibu na 75%
Sasa utaona mwanao ana A nyingi ila ukitafuta jumla ya marks zao utaona yupo chini kuliko hao walopata A nne.
Mfano.
Mwanao: 75%, 76%, 77%, 78%, 79% na 80% (ana A sita na jumla ya alama 465)
Mwingine: 98%, 97% 95% 98% 74% na 73% (ana Anne na B mbili, na jumla ya alama 535)
Mpeleke mwanao Ifunda Technical ipo Iringa akashindwe mwenyewe.
Hakika, nami nilikuwa nakazia suala hilo hilo.Primary A ni kuanzia 81 ambayo ni marks 40.5. Marks za juu shule za msingi 50. Yaani akipata 100 wanagawa kwa 2 yaani (100/2=50). Ebu tulinganishe wanafunzi hawa wawili: Labda tuseme hivi somo 1 kapata A ya 100x1=100. Masomo 5 mengine kapata B za 80x5=400. Ukijumlisha 100+400=500. Ukigawa 500/2=250. Wakati huo huo tuchukulie wastani wa chini kwa aliyepata masomo yoote A ni 81x6=486. Ukigawa 486/2=243. Kwahiyo utakuja kuona huyu kapata masomo yoote A lakini jumla ya maksi yuko chini kuliko huyo aliyepata A moja tu!. Chiclette
Sio zoteGoverment hazijawahi kupishana Tabia...
Hizo mnazoziita vipaji mateso ni sawa na Kayumba tu..basi tu zinaenda cream.
Tafuta hela, elimu haipaswi kuwa mateso.
Let the children enjoy the fruit of your sweat.
Utajijua.Sio zote
Na wewe🤣Utajijua.
Mkuu naziomba namm nijaribu bahati yanguNgoja nikutafutie namba za kilakala girls!