Pwani -Kisarawe hutaki?MIMI NATAFUTA GOVERNMENT BOARDING..MTOTO WANGU WA KIKE.
NB: YA CHAI TZS:500,000/= NIKO TAYARI KUTOA ...NIKO DSM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pwani -Kisarawe hutaki?MIMI NATAFUTA GOVERNMENT BOARDING..MTOTO WANGU WA KIKE.
NB: YA CHAI TZS:500,000/= NIKO TAYARI KUTOA ...NIKO DSM
Nipe option za Shule unazotaka Mkuu, tuanze kupambania kombeAisee hizi selection za ajabu sana, mwanangu Ako na A zooote na amepangwa shule ya changanyikeni tu na amemaliza shule ya serikali, japo Kuna wenzake unakuta Wana A nne lakini wapepangwa shule teule, kiukweli inakatisha tamaa. Shule alomalizia ni Dsm wilaya ya ilala, sasa ni hivi Mimi natafuta nafasi shule ya bweni iwe nzuri kidogo kitaaluma, mi najua humu mnajuana na walimu wengi na Kuna walimu pia........
Ya soda ipo kama utataka, ntashukuru kama ntapata nafasi aisee!!!
Ntakuchek kesho saa hz.... uwe activeMkuu naziomba namm nijaribu bahati yangu
nitafte 0762053934Aisee hizi selection za ajabu sana, mwanangu Ako na A zooote na amepangwa shule ya changanyikeni tu na amemaliza shule ya serikali, japo Kuna wenzake unakuta Wana A nne lakini wapepangwa shule teule, kiukweli inakatisha tamaa. Shule alomalizia ni Dsm wilaya ya ilala, sasa ni hivi Mimi natafuta nafasi shule ya bweni iwe nzuri kidogo kitaaluma, mi najua humu mnajuana na walimu wengi na Kuna walimu pia........
Ya soda ipo kama utataka, ntashukuru kama ntapata nafasi aisee!!!
Rushwa kizazi hadi kizazi, Tz taifa lililopotea!Aisee hizi selection za ajabu sana, mwanangu Ako na A zooote na amepangwa shule ya changanyikeni tu na amemaliza shule ya serikali, japo Kuna wenzake unakuta Wana A nne lakini wapepangwa shule teule, kiukweli inakatisha tamaa. Shule alomalizia ni Dsm wilaya ya ilala, sasa ni hivi Mimi natafuta nafasi shule ya bweni iwe nzuri kidogo kitaaluma, mi najua humu mnajuana na walimu wengi na Kuna walimu pia........
Ya soda ipo kama utataka, ntashukuru kama ntapata nafasi aisee!!!
Haina shida mkuu,Ntakuchek kesho saa hz.... uwe active
Ilboru hawakubalimtoto ni bright sana huyo nenda ilboru pale wape ya chai dogo asome pale
Haina form one hadi four mkuuMpeleke Tosamaganga secondary school ipo Iringa nje kidogo ya mji, ni boarding ya wavulana tu
Ilikuwa form one hadi form six. Wamebadilisha? Lini? Ni muda kidogo umepita tangu tulimpeleka kijana wa rafiki yangu pale Tosamaganga Secondary School.Haina form one hadi four mkuu
Mkuu kwema pm hazifunguki kwangu.... Afu huu Uzi nilisahau jina.. ndo nimepataNtakuchek kesho saa hz.... uwe active
Minaki ni advance bossUmefika pale Minaki..?
Sawa mkuu.Minaki ni advance boss
Hili ni neno kuu. Alishike vizuri. Tofauti na hapo hizo shule zitakuwa zinajaa watu wa shule za miji.Msichokijua ni kuwa nafasi ya kwenda shule za bweni hutolewa kihalmashauri mgawo sawa au kuzidi kidogo katika baadhi ya halmashauri nafasi zikitosha waliobaki wanapelekwa kata despite ufaulu wao mkubwa halmashauri zingine zina ufaulu wa chini inapelekea wanachukuliwa wenye A za chini (sababu ndiyo walioongoza ) huku Kwetu kuna wanafunzi wanachukuliwa hadi msalato na wana A 4 madaba mwaka jana kuna dogo alienda msalato na ana wastani wa B na ana A moja siku nyingine msomeshe mwanao kwenye halmashauri zenye wajinga wengi 😆
Fuatilia KAMWALA SEC ipo mwanga kilimanjaroAisee hizi selection za ajabu sana, mwanangu Ako na A zooote na amepangwa shule ya changanyikeni tu na amemaliza shule ya serikali, japo Kuna wenzake unakuta Wana A nne lakini wapepangwa shule teule, kiukweli inakatisha tamaa. Shule alomalizia ni Dsm wilaya ya ilala, sasa ni hivi Mimi natafuta nafasi shule ya bweni iwe nzuri kidogo kitaaluma, mi najua humu mnajuana na walimu wengi na Kuna walimu pia........
Ya soda ipo kama utataka, ntashukuru kama ntapata nafasi aisee!!!
KaribuSawa mkuu.
Naomba mimi pwani kisarawePwani -Kisarawe hutaki?
Kwa mtoto wa kiume anayetaka nafasi form one nipigie 0747464239Be aware na matapeli pia