Namtafutia mwanangu nafasi ya shule ya serikali form one 2025

Ahsante, una namba ya mkuu wa pale?
Alafu A primary ni 81 ambayo ni 41/50
Shukran kwa kunikumbusha hilo, ila naamini mfano wangu umeeleweka vyema.

Ngoja niangalie kama nna namba ya mwalimu yeyote pale then ntakutumia.
 
Achana na issue za boarding mpeleke Dar es salaam secondary pale atoke na division one point 7 aende zake special school
 
Primary A ni kuanzia 81 ambayo ni marks 40.5. Marks za juu shule za msingi 50. Yaani akipata 100 wanagawa kwa 2 yaani (100/2=50). Ebu tulinganishe wanafunzi hawa wawili: Labda tuseme hivi somo 1 kapata A ya 100x1=100. Masomo 5 mengine kapata B za 80x5=400. Ukijumlisha 100+400=500. Ukigawa 500/2=250. Wakati huo huo tuchukulie wastani wa chini kwa aliyepata masomo yoote A ni 81x6=486. Ukigawa 486/2=243. Kwahiyo utakuja kuona huyu kapata masomo yoote A lakini jumla ya maksi yuko chini kuliko huyo aliyepata A moja tu!. Chiclette
 
Hakika, nami nilikuwa nakazia suala hilo hilo.

Suala hili nililijua wakati nilipomaliza shule ya msingi wakati huo tunafanya masomo manne.

Rafiki yangu alipata A mbili na B mbili akachaguliwa shule ya kutwa.

Mimi nilipata A moja na B tatu nikachaguliwa shule ya ufundi. Hii A ilikuwa ya Hisabati.

Tukajiuliza kidogo ila tukaja kujua kuwa kumbe jumla ya alama nilimpita. Tukagonga cheers tukaendelea na maisha.
 
Goverment hazijawahi kupishana Tabia...
Hizo mnazoziita vipaji mateso ni sawa na Kayumba tu..basi tu zinaenda cream.
Tafuta hela, elimu haipaswi kuwa mateso.
Let the children enjoy the fruit of your sweat.
 
Goverment hazijawahi kupishana Tabia...
Hizo mnazoziita vipaji mateso ni sawa na Kayumba tu..basi tu zinaenda cream.
Tafuta hela, elimu haipaswi kuwa mateso.
Let the children enjoy the fruit of your sweat.
Sio zote
 
Ningeweza kukwambia umpeleke pale KANTALAMBA BOYS High school iko sumbawanga mjini lakini kwa kuwa unataka karibu na DSM....lkn ni shule inayofanya vzr nanda za juu kusini ukitoa IYUNGA BOYS
 
Term 1 utaliwa pesa zako......ogopa matapeli....
 
Mwenye mawasiliano ya Kalakala Secondary ya Morogoro naomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…