Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Ila lizuri linanyegesha sema ss uduguu wako shuhuli ikiisha na mizimu ya kikinga inacharuka haimtaki ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Endeleeni kupotezeana muda tu mwisho wa siku wewe ndo utakuwa top looser
 
Sasa ningekua najichua ningemtamani wa nini? Si ningejichua nimalize nitulie ๐Ÿ˜น
Ha ha ha basi kuna shida sehemu, vigezo vya uanaume anavyo ila kuna vitu ana miss ambavyo wewe una vipenda.

Una mtesa kihisia, maana yeye ana kupenda alafu wewe humpendi. Pambana umuache au mwambie ukweli jinsi unavyo jihisi juu yake.
 
Madhara ya kum-treat mwanamke vizuri ni kama hivi, he's a nice guy and you need a thug to treat you nasty.

Kingine, huna libido..ni nyege za kupasha kwa mbali, zikikamuliwa huna habari na kulombwa, kuna mmoja enzi za ubinti wake alikuwa anasema hapitishi siku mbili na mikito ya ukweli.. Evelyn Salt.
 
Kabisa, hapa leo tumekutana church fasta nikatoka kabla ya misa kuisha..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Watu wangu wa karibu naona aibu, bora huku hatujuani..!! ๐Ÿคฃ
Hebu jifunze kumpenda kwanza kipenzi,Mimi naamini huyo ni Mwanaume bora kwako na ukitaka ufurahie mapenzi Mwanaume akupende huwa wanafanya lolote ili tu asikupoteze.
 
Ukamatwe haraka
 
Wewe sasa ndio umeelewa ninachopitia ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Hizo ulizotaja ndio tabia zangu..!! Nitaku-PM unaweza ukanipa ufumbuzi ila sio mbaya km utashare hapa ili wengine ambao wana tatizo km langu wajue wanapona vipi..!!!
Uki ni pm powaaa..Ila huwa sipendi kuweka Maisha yangu kwenye mtandao.

Najua nime expireance kila kitu ulicho post na tiba yake naijua..na for sure ni True..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ