Tutajie jina lake tuanze kulitamka katika maombi πππNimetoka kukuita ss hivi nikupe pole kwa kipigo kingine kutoka kwa Newcastle kumbe umefika hapa..!! πΉ
Nkamu maombi yenu yanahitajika mno na mama mchungaji Heaven Sent π₯°
Hii ni maajabuπUnacheka nini? πΉ
Si hisia zimeisha, Hapo kila mtu na mishe zake mpk hisia zikupandeKwenye kuchukia je ni nini??
Tunataka jina halisiNickname au jina lake halisi? πΉπΉ
We sala zako za uchokozi, wewe omba kikubwa Mungu anamjua haina shida π€£
Ila Nkamu una manenoππππππΏUsharudi kutoka vilabuni chochote unachojisikia unachangia..!!
Certified KahaberSawa nitafanyia kazi..!!
Yeah! Even though father time spares no one, the biological clock ticks a little bit faster for women...and few of them seem to understand this.Make your decision wisely, time is very cruel to women.
Bwana na akafanye kwako aiseeSawa nitalituma usijali πΉπΉπΉ