Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Hahahahah Raha yako kumchezea mwanaume.

Hivi Karma IPO? Kweli... If it's there time yako itafika
😹😹😹 Karma hakuna ni maneno tu ya lia lia 🀣
 
Mhm!! Mbona sasa hawaonekani kwa macho ya nyama? Inafikirisha kidogo..!!
 
una jinin mahaba wewe
 
Ila mdogo wangu kwa nini unamtumia lakini kijana wa watu [emoji1787][emoji1787] ebu jitahidi tu umpende pende tu utamzoea tu
 
😹😹😹 Mate pesa siachi kutafuta hawa viumbe wana midomo ukiwa beggars.!!

Sema kuwachezea raha, yani wanateseka sana..!!
Mara nikuoe, km hutaki nikuoe basi tuzae..!! 🀣
Mama mdogo Heaven Sent (Miss you) Amekupa ushauri mzuri sana utumie mate, wacha kuchezea mtoto wa wenyewe.

Ila tupe siri basi mate, His stroke game
must be stronger!!! 🀣
 
Ila mdogo wangu kwa nini unamtumia lakini kijana wa watu [emoji1787][emoji1787] ebu jitahidi tu umpende pende tu utamzoea tu
Dada basi ngoja nijitahidi kumpenda hivyo hivyo 😹😹
 
Kipindi tupo hall V, alikuwa anafanya political sayansi
Kweli? 😹😹
Hii mbona hajawahi kusema chino?
Hata nyuzi za siasa simuoni kuchangia..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…