Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Upo sahihi.
Asithubutu kuolewa naye yatatokea majanga na majuto.
 
Babu naogopa kuuliwa πŸ˜”πŸ˜₯
 
Dah! 😹
Kumpenda nampenda na kwa bed yuko vizuri ila tatizo tukimaliza balaa linaanza..!!
Kwenye upendo wa kweli hakuna chuki bali kwenye kufeki kuna chuki kama kweli unampenda ukimaliza yale majambo basi utamtamani tena na tenaπŸ˜€

Huu ni ukweli mchungu mimi niliwahi pitia sehemu kama wewe .
 
Ume maliza ya nini kuwa gonjwa sugu, ikiwa waweza kuwa tiba kwa mwingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…