Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nielekezee huo ukatuni ulomfanyia chibaba, hivi udugu leo imekuaje ukashare kitu kinacho kutatiza.

Umenistua ujue?
Nimekosa mtu wa kushare nae, wengi wangenishangaa ambao watu wangu wa karibu..!! 😹😹😹

Mpaka kulileta hapa ujue nimefika mwisho udugu..!! Huo ukatuni nitakwambia pm 🀣
 
Usikute una jini mahaba maana ndio dalili zake hizo.Halipendi kabisa watu waoe au kuolewa.
 
Hata mimi najitahidi kutojibu sms zake na calls zake ila ikitokea tumekutana nasema leo mwisho sirudii tena. Muda huo nakua na hamu nae..!!
 
Nimekosa mtu wa kushare nae, wengi wangenishangaa ambao watu wangu wa karibu..!! [emoji81][emoji81][emoji81]

Mpaka kulileta hapa ujue nimefika mwisho udugu..!! Huo ukatuni nitakwambia pm [emoji1787]
Nausubiri kwa hamu huko PM udugu.

Ila chibaba unampenda, sema kuna factor bado hana, ambayo wee unaitaka.

Ktk kitu siwezi ni kuzagamuana na mtu sina hisia nae au simpendi.
Hata mshipa wa nyege haustukii, wee unawezajee?

Mbona una ujasiri sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daaah aisee leo nimemwona mwanamke nilimwona mwakajana alikuwa kijana kuliko mimi ila leo kazeeka kuliko mimi na ana mashozniga usoni, I was amused
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…