Namtetea mtoto wa Simbachawene, askari wachunguzwe

Dogo naona unamtetea mdogo wako nyie watoto wa vigogo huwa mnajiona mpo juu ya sheria
 
Mi sijui hata mnataka kutetea Nini hapa. Hebu Kuna kipindi acheni ushirikina nyie watu. Yaani baada ya kuona hizo clip zote Bado mnataka kumtetea? Ama kweli watanzania nyoko asee.
Unakuta ni yeye anajitetea na ID nyingi
 
Wamemrekodi clip nyingi nyingi tu kuanzia nje hadi ndani ya kituo, na wao wana makosa. Aligoma kuingia kituoni ikabidi wamfosi wakawa wanamsukuma ndio maana akawa anatukana pale ndani ya kituo na yeye anataka kulipwa kwa kudhalilishwa
Kwanini aligoma kuingia kituoni?
 
Hata siku moja siwez kuwa upande wa hawa askari wetu
 
Kumbe alikimbia ?,yeye nimesikia anasema walitaka kumpiga, ila Kuna vitu hao jamaa wamemkosea hawasemi tu

Mfano wanadai kakejeri passo, huenda walimkera

Tafuta clip ndefu ziko mbili moja fup anaonekana kituon moja ndefu akiwa mtaan na raia ndio wanao ongea sio askari ukiiona uje umtetee
 
Mi sijui hata mnataka kutetea Nini hapa. Hebu Kuna kipindi acheni ushirikina nyie watu. Yaani baada ya kuona hizo clip zote Bado mnataka kumtetea? Ama kweli watanzania nyoko asee.

Watanzania hatunaga akili bro hiv askari wasinge mkamata wakamwacha aende wangelaumu tena ooo watoto wa viongoz wanaachwa yaan Watanzania wa TZ stupid kabisa
 
Wewe na huyo mtoto wake wote wangese tupu,police wamefanya kazi yao kwa toto jinga kma mzazi wake,toto lina laana ya mzazi wake anayofanya kwa watanzania akiwa waziri ...baba mwizi wa kura,baba boss wa kamati ya watoa roho,laana inakula familia yake,bladifaken wahed wewe
 
Una matatizo makubwa kama huelewi kama polisi wanabambika kesi
 
Your browser is not able to display this video.

Sikiliza na angalia hapa!
 
Pamoja na yote ya kugonga gari za watumiaji wengine wa barabara huyo kijana alipaswa kuwa mtulivu polisi wapime ile ajali kwa then taratibu za kulipana ziendelee sasa huyo mtoto wa bossi anasema hajawahi kuenda polisi hii sio excuse kwa wakati kama ule maana kila mtu aliepata tatizo kama hilo anakuwa analipokea kwenye hali isiyo eleweka ikiwemo presha na wasiwasi

Sasa pale wakaanza kubishana walio gongana na magari sasa kwa taratibu za hao polisi wakiona hamna mawazo ya kukubaliana ninyi mliokwaruzana pamoja na kuona viashiria vya kulipana kisasi kwa kutishana kwa ubabe au unyonge lazima atawapeleka kituoni,
Ukiwa dereva wa muda mrefu utajua nini nimekiongea hapa sio ajali zote zinaendaga kituoni zingine wakiona mnaelewana kuhusu kulipana wanaachana na nyinyi.
Kwa hali ilipofikia dogo asinge endelea kubishana kwa sababu tayari taratibu za makubaliano ya awali baada ya tukio yalishindikana ilikuwa ni lazima wafike walipo fika na wafuate taratibu za kulipana kupitia mifumo ya kisheria.
Don't drink and drive
 
Wasikilize hawa waliogongewa magari yao
Your browser is not able to display this video.
 
Wale wameingia cha kike wataundiwa zengwe hawataamini wale na wanavyopenda rushwa waziri kaongea tu kufurahisha hadhira ila moyoni anaumia kuona kijana wake kafanyiwa vile.
 
Wale wameingia cha kike wataundiwa zengwe hawataamini wale na wanavyopenda rushwa waziri kaongea tu kufurahisha hadhira ila moyoni anaumia kuona kijana wake kafanyiwa vile.
Tutaanza na PGO Polisi anaruhusiwa kumchukuwa video mtuhumiwa na kuirusha mtandaoni?

Cha kwanza lazima apatikane Polisi aliyerekodi na kurusha hiyo video, no kazi nyepesi tu kumpata, then yajayo yanafurahisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…