David Goliath
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 949
- 1,878
Naona wahuni mmeanzisha Uzi kutetea mwezenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa anakununulia bia niniWanaomjua dogo wanasema hanaga shida,
Dogo naona unamtetea mdogo wako nyie watoto wa vigogo huwa mnajiona mpo juu ya sheriaHapana hao askari ni waongo. Yule dogo siyo kichaa afanye hayo aliyoyafanya. Nina uhakika kulikuwa na mazingira ya rushwa.
Kuna mtu mmoja siku moja Dar alikuwa hizi hoteli za uswahilini, tena ni dereva wa serikali, sasa askari wakapita walikuwa na ukaguzi wa kawaida.
Basi wakamgongea mshikaji akafungua, bahati mbaya jamaa alikuwa kaweka waleti yenye hela zimetuna na zingine zimetokezea (zilikuwa per diem na mafuta ya safari), basi yule askari alivyoona jamaa alipigwa bonge la kofi na mateke bila hata kumuuliza na akasema nyie ndiyo majambazi tunawatafuta.
Baada ya hapo jamaa kapigwa pingu na kupelekwa mahabusu, alijitahidi kujielezea wapi, akaenda kuwekwa mahabusu na waleti yake na hela zimechukuliwa.
Wakaanza kumuandikisha maelezo yeye kama jambazi. Bahati nzuri alifahamiana na watu, yule askari alifukuzwa kazi baada ya kujulikana ukweli.
Naamini watoto wa viongozi wanapaswa kupewa heshima na siyo kuwadhalilisha.
Unakuta ni yeye anajitetea na ID nyingiMi sijui hata mnataka kutetea Nini hapa. Hebu Kuna kipindi acheni ushirikina nyie watu. Yaani baada ya kuona hizo clip zote Bado mnataka kumtetea? Ama kweli watanzania nyoko asee.
Kwanini aligoma kuingia kituoni?Wamemrekodi clip nyingi nyingi tu kuanzia nje hadi ndani ya kituo, na wao wana makosa. Aligoma kuingia kituoni ikabidi wamfosi wakawa wanamsukuma ndio maana akawa anatukana pale ndani ya kituo na yeye anataka kulipwa kwa kudhalilishwa
Naona kuna watu wako nampango wa kuua biashara ya bettingNewcastle anavyompelekesha champion ni aibu 2-1
Kumbe alikimbia ?,yeye nimesikia anasema walitaka kumpiga, ila Kuna vitu hao jamaa wamemkosea hawasemi tu
Mfano wanadai kakejeri passo, huenda walimkera
Mi sijui hata mnataka kutetea Nini hapa. Hebu Kuna kipindi acheni ushirikina nyie watu. Yaani baada ya kuona hizo clip zote Bado mnataka kumtetea? Ama kweli watanzania nyoko asee.
Wewe na huyo mtoto wake wote wangese tupu,police wamefanya kazi yao kwa toto jinga kma mzazi wake,toto lina laana ya mzazi wake anayofanya kwa watanzania akiwa waziri ...baba mwizi wa kura,baba boss wa kamati ya watoa roho,laana inakula familia yake,bladifaken wahed weweGTs,
Kama tulivyoona kijana wa Mh. Simbachawene alivyoingia kituoni halafu kuna askari akamchokoza kwa tusi. Je, hiyo ni sahihi? Je, ni kweli alitukana na alipokuwa nje, na je ndiyo njia sahihi ya askari kufanya kazi?
Je, haki za kijana wa Mh. Simbachawene zilifuatwa, au alitishiwa na hao askari ili atoe rushwa ila baada ya hao askari kujua ni mtoto wa kiongozi, ikabidi wamrekodi na kumchokoza ili akasirike warekodi na kumdhalilisha?
Naamini jeshi la polisi litafanya uchunguzi ili kubaini hasa kitu gani kilitokea. Maana hao askari inaonekana walijipanga kuhakikisha dogo wana mdhalilisha.
Na kibaya walilenga kumdhalilisha Mh. Simbachawene, na huyo kijana inaonekana ni mtu mwenye heshima na anajitambua ila hao askari walimtengenezea mazingira baada ya kuona wamekosea ili kujikosha kwa jamii.
Ila mtindo wa askari ndiyo huo kudhalilisha na kusumbua ili wapate rushwa.
Naamini Mh. Simbachawene atamlinda mwanae, akiwaachia hao askari Polisi wamshughulikie mwanae wanaweza kufanya yale ya Mtwara.
Chonde chonde Mh. Simbachawene, hukupaswa kabisa kutoa ruhusa mwanao ashughulikiwe wanaweza kumuua ili wapoteze ushahidi maana mifano ipo mingi ya askari kuua watuhumiwa ili kuficha ushahidi.
Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria
Nimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii , nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yake…. Nimemwagiza Mkuu kituo kwa sababu amekosa adabu kwa jeshi la polisi na ametenda kosa la usalama barabarani ASHUGHULIKIWE BILA HURUMA KWA MUJIBU WA...www.jamiiforums.com
Una matatizo makubwa kama huelewi kama polisi wanabambika kesiWewe na huyo mtoto wake wote wangese tupu,police wamefanya kazi yao kwa toto jinga kma mzazi wake,toto lina laana ya mzazi wake anayofanya kwa watanzania akiwa waziri ...baba mwizi wa kura,baba boss wa kamati ya watoa roho,laana inakula familia yake,bladifaken wahed wewe
GTs,
Kama tulivyoona kijana wa Mh. Simbachawene alivyoingia kituoni halafu kuna askari akamchokoza kwa tusi. Je, hiyo ni sahihi? Je, ni kweli alitukana na alipokuwa nje, na je ndiyo njia sahihi ya askari kufanya kazi?
Je, haki za kijana wa Mh. Simbachawene zilifuatwa, au alitishiwa na hao askari ili atoe rushwa ila baada ya hao askari kujua ni mtoto wa kiongozi, ikabidi wamrekodi na kumchokoza ili akasirike warekodi na kumdhalilisha?
Naamini jeshi la polisi litafanya uchunguzi ili kubaini hasa kitu gani kilitokea. Maana hao askari inaonekana walijipanga kuhakikisha dogo wana mdhalilisha.
Na kibaya walilenga kumdhalilisha Mh. Simbachawene, na huyo kijana inaonekana ni mtu mwenye heshima na anajitambua ila hao askari walimtengenezea mazingira baada ya kuona wamekosea ili kujikosha kwa jamii.
Ila mtindo wa askari ndiyo huo kudhalilisha na kusumbua ili wapate rushwa.
Naamini Mh. Simbachawene atamlinda mwanae, akiwaachia hao askari Polisi wamshughulikie mwanae wanaweza kufanya yale ya Mtwara.
Chonde chonde Mh. Simbachawene, hukupaswa kabisa kutoa ruhusa mwanao ashughulikiwe wanaweza kumuua ili wapoteze ushahidi maana mifano ipo mingi ya askari kuua watuhumiwa ili kuficha ushahidi.
Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria
Nimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii , nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yake…. Nimemwagiza Mkuu kituo kwa sababu amekosa adabu kwa jeshi la polisi na ametenda kosa la usalama barabarani ASHUGHULIKIWE BILA HURUMA KWA MUJIBU WA...www.jamiiforums.com
Sikiliza na angalia hapa!
magu2016 dogo alionesha kusema kachoka na liwalo liwe maana yake walimtesa na kumdhihaki. Na hatukusikia akimtaja baba yake ktk hiyo videoView attachment 2330595
Sikiliza na angalia hapa!
Wasikilize hawa waliogongewa magari yaomagu2016 dogo alionesha kusema kachoka na liwalo liwe maana yake walimtesa na kumdhihaki. Na hatukusikia akimtaja baba yake ktk hiyo video
Wasikilize hawa hapa waliogongewa magari yao
Wale wameingia cha kike wataundiwa zengwe hawataamini wale na wanavyopenda rushwa waziri kaongea tu kufurahisha hadhira ila moyoni anaumia kuona kijana wake kafanyiwa vile.No kitendo cha makusudi walichokifanya, kwanza Mimi nachukia sana hii tabia ya kutumia simu vibaya, hawa ndio mazuzu huwa yanapiga Picha mpaka maiti.
Mimi simu yangu mpaka nitumie camera ujuwe nimefika sehemu imenivutia sana ndio huwa natumia camera kupata kumbukumbu.
Tutaanza na PGO Polisi anaruhusiwa kumchukuwa video mtuhumiwa na kuirusha mtandaoni?Wale wameingia cha kike wataundiwa zengwe hawataamini wale na wanavyopenda rushwa waziri kaongea tu kufurahisha hadhira ila moyoni anaumia kuona kijana wake kafanyiwa vile.