Namuogopa mke wangu, anaweza kuniua

Yaani akiniambia maneno hayo, na mahusiano yanaishia hapo hapo. Alijirudi kukushawishi kuwa alitania Ila kiuhalisia hatanii huyo. Atakunyofoa kende, kukata shingonyako au kukuchoma visu.
 
Oya fanya kitu kuhusu hili..kumbuka ktk utani au casual ndiyo mara nyingi watu huwa huru kusema wanayoyafikiria.
Nenda naye kwa wazazi mjadili hiyo inshu
 
Oya fanya kitu kuhusu hili..kumbuka ktk utani au casual ndiyo mara nyingi watu huwa huru kusema wanayoyafikiria.
Nenda naye kwa wazazi mjadili hiyo inshu
Wazazi wake hawatasema nimuache mana ananitishia maisha, zaidi watafanya kumsema sema tu but the core nature km anamaanisha itakua ipo
 
Kuna muda nahisi km hayuko sawa ndo ivyo "chaguo"
 
Ok
 
Niliwahi kuwa na boyfriend kutoka ile kanda maalum, akaniamba yaani siku ukiwa mke wangu nitadivert call zako zote kwangu na nikigundua any cheating nitakuua. NAKIRI KWAMBA JAMAA ALIKUWA ANASIFA ZOTE ZA MWANAUME BORA ILA HIYO STATEMENT MOJA TU ILITOSHA KUMUACHA.Na mpk leo hajaoa sababu ya wivu uliopitiliza
 
Mfalme Suleiman alioa wake 700
Nyumba ndogo 300
Buku 1000 hiyo

Na bado Mungu akaendelea kumsikiliza

Wewe unamuogopaje huyo wako

Kingine mwanaume hafumaniwi anakutwa ENEO LA TUKIO☑️

Dhambi ya usaliti kwa wanaume TUSHAFUTIWA HAIPO KABISA

Mungu analijua hilo

Acha dhambi zako wewe chepuka na hakufanyi chochote
 
Nikikushauri ukuache, naona vita kubwa na pengine akakuua pia. Nikisema uendelee naye, naona pia umekaa na kifo chako karibu.

Ukichimama nchale, ukikaa nchale. Uchimeje wala uchimumunye.

Kazi unayo
 
Sasa si umuwahi yeye?
 
Kwani unachepuka au una mpango wa kuchepuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…