Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Sio kwamba atakuuwa kweli ila ni machungu makali ya moyo atakaposikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani mwanamke anaeongea kimasihara...... Ni wakuogopakuna muda mapenzi yanampumbaza mtu, hapo jamaa anahisi utani ila ni hatari sana

Oya fanya kitu kuhusu hili..kumbuka ktk utani au casual ndiyo mara nyingi watu huwa huru kusema wanayoyafikiria.Mwandani wangu amesema endapo akisikia tu ninamchepuko ataniua tena nikiwa usingizini, anasema hata niuliza atachunguza kisiri siri then akiwa na ushahidi ataniua.
Kwamba ni bora asinione kabisa, nimemuuliza kuhusu yeye kufungwa jela anasema hio hajali kikubwa asinione. Nimemwambia akisikia aniulize kwanza anasema kua akiniuliza nitamdanganya.
kuhusu dhambi ya kuua anasema Mungu anasamehe zambi zote. nimekua na hofu sana kwa sasa nadhani anaweza kua anamaanisha ingawa mazungumzo yalikua casual.
Wazazi wake hawatasema nimuache mana ananitishia maisha, zaidi watafanya kumsema sema tu but the core nature km anamaanisha itakua ipoOya fanya kitu kuhusu hili..kumbuka ktk utani au casual ndiyo mara nyingi watu huwa huru kusema wanayoyafikiria.
Nenda naye kwa wazazi mjadili hiyo inshu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu wakisema kitu wanakuwa serious. Achana na michepuko mkuu utauwawa bureee[emoji28][emoji28]
OkMwandani wangu amesema endapo akisikia tu ninamchepuko ataniua tena nikiwa usingizini, anasema hata niuliza atachunguza kisiri siri then akiwa na ushahidi ataniua.
Kwamba ni bora asinione kabisa, nimemuuliza kuhusu yeye kufungwa jela anasema hio hajali kikubwa asinione. Nimemwambia akisikia aniulize kwanza anasema kua akiniuliza nitamdanganya.
kuhusu dhambi ya kuua anasema Mungu anasamehe zambi zote. nimekua na hofu sana kwa sasa nadhani anaweza kua anamaanisha ingawa mazungumzo yalikua casual.
Nikikushauri ukuache, naona vita kubwa na pengine akakuua pia. Nikisema uendelee naye, naona pia umekaa na kifo chako karibu.Mwandani wangu amesema endapo akisikia tu ninamchepuko ataniua tena nikiwa usingizini, anasema hata niuliza atachunguza kisiri siri then akiwa na ushahidi ataniua.
Kwamba ni bora asinione kabisa, nimemuuliza kuhusu yeye kufungwa jela anasema hio hajali kikubwa asinione. Nimemwambia akisikia aniulize kwanza anasema kua akiniuliza nitamdanganya.
kuhusu dhambi ya kuua anasema Mungu anasamehe zambi zote. nimekua na hofu sana kwa sasa nadhani anaweza kua anamaanisha ingawa mazungumzo yalikua casual.
Sasa si umuwahi yeye?Mwandani wangu amesema endapo akisikia tu ninamchepuko ataniua tena nikiwa usingizini, anasema hata niuliza atachunguza kisiri siri then akiwa na ushahidi ataniua.
Kwamba ni bora asinione kabisa, nimemuuliza kuhusu yeye kufungwa jela anasema hio hajali kikubwa asinione. Nimemwambia akisikia aniulize kwanza anasema kua akiniuliza nitamdanganya.
kuhusu dhambi ya kuua anasema Mungu anasamehe zambi zote. nimekua na hofu sana kwa sasa nadhani anaweza kua anamaanisha ingawa mazungumzo yalikua casual.
Kwani unachepuka au una mpango wa kuchepuka?Mwandani wangu amesema endapo akisikia tu ninamchepuko ataniua tena nikiwa usingizini, anasema hata niuliza atachunguza kisiri siri then akiwa na ushahidi ataniua.