Namuogopa mpenzi wangu nikisikia sauti yake

Mwanaume wako ni masculine man.
Mlinde at all cost asibadilike maana wanaume wako wachache.
Punguza woga, jione kama mshauri mkuu kwake hapo unaweza toa hoja zako kwake na umuone kama kiongozi wako.
 
Basi huyo Hana shida,mimi alikuwa akinikosea nikilia ndo kwanza anakugombeza na kukutukana kabisa,yani kiufupi hajali machozi yako,uwe unaumwa hawezi kuuliza hata unaendeleaje,akikupigia simu hata hujamaliza mazungumzo anakata na haulizi labda ulikuwa unataka kuongea Nini[emoji23][emoji23],yani mda wote unakuwa na hofu hata ukitaka kumuuliza jambo,akienda kazini ukimpigia sim hata kumuuliza umefika wapi anakufokea,eti unamfatilia maisha yake,yani yy anafanya atakavyo,hajali utaumia au la,ila dunia Ina vituko hii[emoji2960]
 
umemkimbia??
 
Mwanaume wako ni masculine man.
Mlinde at all cost asibadilike maana wanaume wako wachache.
Punguza woga, jione kama mshauri mkuu kwake hapo unaweza toa hoja zako kwake na umuone kama kiongozi wako.
Sawa mkuu nitazidi kumuombea.
Ila akipanikigi duuh ni mkali lkn naamin woga utaniisha tu
 
Sawa mkuu nitazidi kumuombea.
Ila akipanikigi duuh ni mkali lkn naamin woga utaniisha tu
Tena omba Mungu sana,piga sana goti maana wanaume wa hivi wana Siri kubwa sana,anaweza akawa anafanya mambo makubwa na ya ajabu kwa kuwa anajua unamuamini unampenda na unamuogopa pia,siku anakufanyia tukio kubwa na unadhindwa hata la kufanya
 
Mwanaume asiyetaka majadiliano sikuzote anataka lake ndio liende,sasa Kuna communication hapo kweli?wanakuwaga madikteta hao[emoji1787]ajiandae kuwa mzee wa ndio,na huko kumzid kipato,wakija oana ataachishwa kazi[emoji120]
Exactly.
 
Tena omba Mungu sana,piga sana goti maana wanaume wa hivi wana Siri kubwa sana,anaweza akawa anafanya mambo makubwa na ya ajabu kwa kuwa anajua unamuamini unampenda na unamuogopa pia,siku anakufanyia tukio kubwa na unadhindwa hata la kufanya
Nimemwambia hataki, mwanaume wa hivyo anakuwaga na tabia za kujificha ,huyu dogo haelewi tu,ila tunamtakia kila la heri🙏
 
Duuuh na kutukanwa juu!?

Huyu wa kwangu akikasirika na yeye huwa hajali chozi ila hata siku moja hajawahi kunitukana wala kunikashifu.

Huyo wa kwako ni rude.
Mimi siku akinitukana nasepa.
 
Hawezi kuni abuse ananipenda.
Pia mimi ndio nimejikuta tu namuogopa
Hakuna aliyesema hakupendi,ana controlling behavior ambayo hupelekea abuse ikitokea hujafatisha atakayo yeye,manake yeye ndo sole muamuzi katika lolote matakalojadil au kupanga.Anyways relax mama and all the best🙏
 
Haijalishi Kama wewe ni ME ama KE ila jua mwenzio amekufanyia limbwata la hatarii Sana, Yaani hapo utaendelea tu kupooza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…