Jeep rubicon
JF-Expert Member
- Jan 7, 2023
- 737
- 1,446
- Thread starter
-
- #221
Ananisikiliza sana.Mwanaume asiyetaka majadiliano sikuzote anataka lake ndio liende,sasa Kuna communication hapo kweli?wanakuwaga madikteta hao🤣ajiandae kuwa mzee wa ndio,na huko kumzid kipato,wakija oana ataachishwa kazi🙏
Hayo tunamuachia Mungu.Tena omba Mungu sana,piga sana goti maana wanaume wa hivi wana Siri kubwa sana,anaweza akawa anafanya mambo makubwa na ya ajabu kwa kuwa anajua unamuamini unampenda na unamuogopa pia,siku anakufanyia tukio kubwa na unadhindwa hata la kufanya
Usinitabirie mabaya mkuu.Nimemwambia hataki, mwanaume wa hivyo anakuwaga na tabia za kujificha ,huyu dogo haelewi tu,ila tunamtakia kila la heri🙏
Acha tu ani control nampenda hivyo hivyo😂Hakuna aliyesema hakupendi,ana controlling behavior ambayo hupelekea abuse ikitokea hujafatisha atakayo yeye,manake yeye ndo sole muamuzi katika lolote matakalojadil au kupanga.Anyways relax mama and all the best🙏
Hamna shida Im enjoying it😂Haijalishi Kama wewe ni ME ama KE ila jua mwenzio amekufanyia limbwata la hatarii Sana, Yaani hapo utaendelea tu kupooza
Najua hajanipika ila kama kanipika basi aongeze sbb ujio wake kwenye maisha yangu umeniletea mabadiliko mengi mazuri.AKOLEZE😂Right,Kampika tena pakubwa sana 🙏
Akipanick kaa kimya subiri kwanza usiwe unajibizana naye..Sawa mkuu nitazidi kumuombea.
Ila akipanikigi duuh ni mkali lkn naamin woga utaniisha tu
Baba yangu alifariki siku nyingi.Tatizo lako hujajengwa kuelezea hisia zako kwa uwazi bila kuogopa upande wa pili utachukulia vipi...inaonesha ni mtu wa kukimbia au kuahirisha kusolve matatizo....je baba yako mzazi au kaka yako unaweza kuwaeleza kitu kilichokuudhi?
Nina huo ujasiri basi wa kujibizana nae mkuu😂Akipanick kaa kimya subiri kwanza usiwe unajibizana naye..
Basi ni vizuri ila hakikisha unamzoesha Kila hoja anayotoa unamshauri, kama ni hapana utoe sababu, naamini hatokuwa na hasira kama ni sababu ya msingi.Nina huo ujasiri basi wa kujibizana nae mkuu😂
ndo likoje hili mkuu 😂Unaweza kupata gharama kutafuta ushauri kumbe mmezama kwenye aina ya penzi la kikuria
Kumbe mapenzi ya kikurya ndo hivi?Unaweza kupata gharama kutafuta ushauri kumbe mmezama kwenye aina ya penzi la kikuria
Basi jifunze kuwa huru na bila woga kumueleza vile unahisi na jaribuni kufanya vitu vitakavyovunja huo woga kama kutaniana, kwenda sehemu social mkiwa pamoja kama kwenda uwanjani kuangalia mpira...mfanye kuwa rafiki yaani itasaidia akujue hivi Sasa kuliko uje umzoee baadae akuone umebadilika.Baba yangu alifariki siku nyingi.
Kaka yangu naweza kuongea nae.
Kukimbia matatizo hilo kwel ni tatizo ninalo sbb mwanzon tulikua tukigombana naona kwa vile siwez kulumbana nae basi niliona solution ni kumwambia tuachane japo moyoni nakua bado nampenda.Kama angekua ananisikiliza ninavyosema tuachane tungeshaachana siku nyingi.
Asante kwa ushauri mkuu.Basi ni vizuri ila hakikisha unamzoesha Kila hoja anayotoa unamshauri, kama ni hapana utoe sababu, naamini hatokuwa na hasira kama ni sababu ya msingi.
Labda tukispend time zaid itasaidia tatizo yuko busy kila siku safari za kikazi.Hapa tunavyoongea yuko nje ya nchi sijui nitamzoea lin☹️Basi jifunze kuwa huru na bila woga kumueleza vile unahisi na jaribuni kufanya vitu vitakavyovunja huo woga kama kutaniana, kwenda sehemu social mkiwa pamoja kama kwenda uwanjani kuangalia mpira...mfanye kuwa rafiki yaani itasaidia akujue hivi Sasa kuliko uje umzoee baadae akuone umebadilika.
Jini mahaba la kikuria limeingilia mapenzi yenuKumbe mapenzi ya kikurya ndo hivi?