Namuogopa mpenzi wangu nikisikia sauti yake

Huo ni uchawi na asili yake ni Simba au chatu mfano Kwa tuliopita shule Kubwa unakuta wanafunzi mnataka kugoma mna malalamiko kibao lakini kengele ikigongwa pale Assembly MKUU WA SHULE AKIFIKA mnajikûta mnatetemeka na uoga wa kufa mtu siyo Bure huwa ni madawa.

Dawa ya simba ni kutawanya kama ilivyo Kule porini Simba akitokea wanyama hutawanyika wakiwa ktk taharuki ya woga.

Dawa yenye asili ya chatu ni ya kuogofya hata waliochunga mifugo kama jirani kuna chatu wao huhisi harufu utaona wanyama wanakuwa na hofu ingawa hawakimbii lakini wanakuwa wanyonge.
Hivyo kaka Kwa maelezo ulotoa ingawa umejitetea kwamba hujalogwa nikwambie tu Si Kila aliyelogwa anajua na kama ukibisha sawa lakini hatima Yako IPO hatarini nakushauri kama una Babu shangazi njomba hebu muelezee hiyo Hali usiishie hapa JF ambako wengi wamezaliwa mjini hawajabamizwa na wamesoma na mzungu kawaaminisha wasiamini uchawi ndugu fuatilia hiyo ishu usijeishia shimo la tewa
 
Huyo kajipaka mafuta ya simba akinuia jina lako.
Hii ni silaha kubwa mno kama nuke, hutumiwa walau na maboss waoga ofisin sio mapenzini.
 
Sorry mkuu.
Siamini hayo makorokocho
 
Huyo kajipaka mafuta ya simba akinuia jina lako.
Hii ni silaha kubwa mno kama nuke, hutumiwa walau na maboss waoga ofisin sio mapenzini.
Waafrika tuache imani za ajabu ajabu.
 
Huyo alishakulisha mimavi na mikojo yake ili uwe zwazwa kwake, ni mchagga au mpare nini? Lakini dalili kubwa zinaonyesha kuwa ni demu wa Kitanga tu au Muha wa Kigoma.
 
Ameshakupa kitu kwenye kichwa cha abdala kwenzi then ikaingia huko chini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huchomoki hapo Mpaka akuague yeye mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…