Jeep rubicon
JF-Expert Member
- Jan 7, 2023
- 737
- 1,446
- Thread starter
- #281
Hivyo hivyo mrad siku zisonge😂Mambo yanaenda lakini....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo hivyo mrad siku zisonge😂Mambo yanaenda lakini....
Huyo kajipaka mafuta ya simba akinuia jina lako.Hello people.
Ndugu zanguni nina hali fulani hivi siielewi.
Nampenda sana shemeji yenu na kwa jinsi alivyo nimejikuta namuheshimu sana ila nahisi kama heshima imezidi hadi imegeuka woga hivi.
Japo huwa ananisaidiaga financially akijisikia ila nahisi ninamzidi kipato na simtegemei ila sijui kwanin sauti yake imekua na mamlaka sana kwangu,yaan nikisikia tu sauti yake sijui kwanini hata tone yangu inabadilika na kuwa ya upole na unyenyekevu mkubwa na huwa nalipima neno kabla ya kumwambia.
Kuna siku alinikasirisha sana na sikutaka tena kuendelea na mahusiano nae akawa akipiga sipokei then kwa hasira nikapanga akipiga nipokee then nimfokee nimjibu mbovu then nikate nimblock lakini cha ajabu nilivyopokea na kusikia sauti yake tu sikuweza tena kuongea nae kwa sauti ya ukali kama nilivyopanga na maneno makali niliyokua namwambia kwenye sms ukiniambia nimwambie kwa mdomo siwezi so nikaishia kuwa mpole kama mwanakondoo tu.
Sio mkatili wala sijalogwa ila nikimzingua ni mkali sana ila anajali na anajitahidi sana kunionesha upendo lakini sijui kwanini namuogopa hadi nakosa ujasiri wa kutoa madukuduku yangu kwake.
Mimi ni mwanamke.
Sorry mkuu.Huo ni uchawi na asili yake ni Simba au chatu mfano Kwa tuliopita shule Kubwa unakuta wanafunzi mnataka kugoma mna malalamiko kibao lakini kengele ikigongwa pale Assembly MKUU WA SHULE AKIFIKA mnajikûta mnatetemeka na uoga wa kufa mtu siyo Bure huwa ni madawa.
Dawa ya simba ni kutawanya kama ilivyo Kule porini Simba akitokea wanyama hutawanyika wakiwa ktk taharuki ya woga.
Dawa yenye asili ya chatu ni ya kuogofya hata waliochunga mifugo kama jirani kuna chatu wao huhisi harufu utaona wanyama wanakuwa na hofu ingawa hawakimbii lakini wanakuwa wanyonge.
Hivyo kaka Kwa maelezo ulotoa ingawa umejitetea kwamba hujalogwa nikwambie tu Si Kila aliyelogwa anajua na kama ukibisha sawa lakini hatima Yako IPO hatarini nakushauri kama una Babu shangazi njomba hebu muelezee hiyo Hali usiishie hapa JF ambako wengi wamezaliwa mjini hawajabamizwa na wamesoma na mzungu kawaaminisha wasiamini uchawi ndugu fuatilia hiyo ishu usijeishia shimo la tewa
Thanks.Kama ni kweli, basi you are a good girl...
Waafrika tuache imani za ajabu ajabu.Huyo kajipaka mafuta ya simba akinuia jina lako.
Hii ni silaha kubwa mno kama nuke, hutumiwa walau na maboss waoga ofisin sio mapenzini.
Huyo alishakulisha mimavi na mikojo yake ili uwe zwazwa kwake, ni mchagga au mpare nini? Lakini dalili kubwa zinaonyesha kuwa ni demu wa Kitanga tu au Muha wa Kigoma.Hello people.
Ndugu zanguni nina hali fulani hivi siielewi.
Nampenda sana shemeji yenu na kwa jinsi alivyo nimejikuta namuheshimu sana ila nahisi kama heshima imezidi hadi imegeuka woga hivi.
Japo huwa ananisaidiaga financially akijisikia ila nahisi ninamzidi kipato na simtegemei ila sijui kwanin sauti yake imekua na mamlaka sana kwangu,yaan nikisikia tu sauti yake sijui kwanini hata tone yangu inabadilika na kuwa ya upole na unyenyekevu mkubwa na huwa nalipima neno kabla ya kumwambia.
Kuna siku alinikasirisha sana na sikutaka tena kuendelea na mahusiano nae akawa akipiga sipokei then kwa hasira nikapanga akipiga nipokee then nimfokee nimjibu mbovu then nikate nimblock lakini cha ajabu nilivyopokea na kusikia sauti yake tu sikuweza tena kuongea nae kwa sauti ya ukali kama nilivyopanga na maneno makali niliyokua namwambia kwenye sms ukiniambia nimwambie kwa mdomo siwezi so nikaishia kuwa mpole kama mwanakondoo tu.
Sio mkatili wala sijalogwa ila nikimzingua ni mkali sana ila anajali na anajitahidi sana kunionesha upendo lakini sijui kwanini namuogopa hadi nakosa ujasiri wa kutoa madukuduku yangu kwake.
Mimi ni mwanamke.
Ukiminywa tena kende Kaa kimya uishie hukohukoSorry mkuu.
Siamini hayo makorokocho
Wanawake tuna kende siku hizi,😂.Ukiminywa tena kende Kaa kimya uishie hukohuko
😏😏Ameshakupa kitu kwenye kichwa cha abdala kwenzi then ikaingia huko chini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huchomoki hapo Mpaka akuague yeye mwenyewe
😏👎Huyo alishakulisha mimavi na mikojo yake ili uwe zwazwa kwake, ni mchagga au mpare nini? Lakini dalili kubwa zinaonyesha kuwa ni demu wa Kitanga tu au Muha wa Kigoma.
Sasa Kama umeshakiri hivi, shida Nini? Unataka ushauri wa aina gani tena wakati unampenda na ushamjaza moyoni?He is the one and only
Naomba basi uniambie mkui nifanyaje ili niwe the only one in his life.?🙏🙏Mfanye na yeye ili uwe the only in his life.
Haha ngoja wakushauri mrembo😊Naomba basi uniambie mkui nifanyaje ili niwe the only one in his life.?🙏🙏
Eti wakuu,mbali ya uchawi,chura,sura na sex nini kitaweza kufanya mwanamke awe the ONE AND ONLY kwa mwanaume wake??
Mshana Jr Extrovert Gily Joannah Gily Equation x Magoya2000 mshamba_hachekwi Watu8 The Boss
Ndio mkuu🙏Alafu umefunga PM yako Jeep🤔
Na wewe pia unishauri mkuuHaha ngoja wakushauri mrembo
Sawa nitakushauri jambo positively, ngoja waanze kwanza😊Na wewe pia unishauri mkuu