Namuogopa mpenzi wangu nikisikia sauti yake

Hawezi kuwa na michepuko.
Ananipenda sana.
Namuamini.
Na kama kumtii mwanaume wangu ni undondocha haina shida dini yangu imenifundisha kuwatii wanaume na ndio maana naogopa hata kumjibu vibaya
Umesema hawezi kuwa na michepuko, unanifurahisha kweli we mwanamke
 
Ni kawaida sana.
Muhimu sana umzoee as ukija kujua udhaifu wake unaweza kuwa disappointed sana
 
Daaah wanawake km weww wenye upendo walishabakia 1 in a million. Namwonea wivu mshkaji
 
JF siku hizi ni pakifoo sana...Wengi ni waovu na wenye ushauri wa hovyo sana...

Wewe ni KE umesema niombe nikusihi jambo lenye utulivu sana kwakuwa umempenda kweli mwenzio jaribu kumuelekeza wapi unapohisi anakosea upande wako....Na ukiona haelewi wala kukusikiliza chukua tahadhari mapema na kushirikisha upande wake wa pili/wazazi wake ikiwa wanatambua uhusiano wenu unless hapo mtadanganyana na mapenzi ya utoto tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…