Namuogopa mpenzi wangu nikisikia sauti yake

Kuna raha yake, nishakuwa na KE mkipishana kwenye sms hayo maneno yake hadi kero. Ila akipiga simu utadhan sio yeye yani hana ujanja, mpole mpaka analia na hapo hana budi mpatane.
Kujibizana live na mtu ana ndevu zake yataka ujasiri sana aisee.Sms mwokozi wetu😂
 
Kwa sifa hizo nimemkubali,mpe hu sana huyo mwamba,ni kama mimi tu,TAJIRI MBISHI.
 
Hivyo ndio mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke inatakiwa kuwa. Kusiwapo mazoea ya hovyo hovyo kiasi kwamba ukamuona jamaa kama mwenzako.
 
We mchukulie poa tu, hizi koo huko tunazaliwa hasa za ma Chief amri amri zipo tu.
Hilo tatizo ninalo pia.
Badae nikishakua nimeharibu ndio naanza kujuta nimefanyaje sasa.
Ni vinasaba tu vipo mwilini
Babu kijana hata wewe[emoji23][emoji23]?
 
Sasa si unamuandikia sms na ujumbe unafika ama?!
 
Usijali familia za ki Chief huwa iko hivyo mtu anaweza kuongea kawaida tu lakini ukasikia kama Ghost linaunguruma ana hivyo vinasaba muulize.
Alafu mchukulie poa tu haumizi huyo.
Na kwa Sisi Ma Chief Executive Officer Inatuhusu Au ?
 
Hivyo ndio mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke inatakiwa kuwa. Kusiwapo mazoea ya hovyo hovyo kiasi kwamba ukamuona jamaa kama mwenzako.
Sijui amewezaje kufanya nisimzoee sbb pamoja ya kuwa tunapiga sana story tunataniana n.k ila ni ngumu kumzoea kihivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…