Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,026
Magufuri hakuwa Mungu, alipatia na kukosea mengi tu. Angekuwa kiongozi mzuri ila alitaka tumuone yeye ndio pekee anaweza kazi kuliko mwingine. Kama wewe ulimuona Malaika sawaWatanzania wote tunajua wanaompondea ni waovu aliowabana kwenye utawala wake, hakuna haja ya kuwaomba msamaha kwa makosa ambayo Magufuli hakuyatenda.
ingekuwa hivyo asingekuwa na wasaidizi.ujue shida yenu mnafanya propaganda kwa kuropoka.Magufuri hakuwa Mungu, alipatia na kukosea mengi tu. Angekuwa kiongozi mzuri ila alitaka tumuone yeye ndio pekee anaweza kazi kuliko mwingine. Kama wewe ulimuona Malaika sawa
Naunga mkono hoja, JPM was a human being just like human being mwingine yeyote, anaweza kuwa na mapungufu, no one is perfect, aachwe apumzike kwa amani
P
Naunga mkono hoja, JPM was a human being just like human being mwingine yeyote, anaweza kuwa na mapungufu, no one is perfect, aachwe apumzike kwa amani
P
Kwa hiyo una tattoo ya jiwe kwenye moyo wako?Kompyuta mpakato kabisa!😂😂😂😂Ndumilakuwili hilo limetumwa kuja kupima akili za wa-TZ zikoje kumbe lenyewe ndiyo limeonekana pumba pumba haswa [emoji16]
JPM hafutiki na hatafutika kamwe mioyoni mwa wa-TZ, labda ziharibuni kazi zake zinazoonekana [emoji38]
Tatizo ni moja tuu hapa... Ukiangalia sifa alizokua anapewa na majina ya ukuu wa mbinguni halaf hakua anakemea. Means alifurahia, so hilo lilikua kosa kubwa san kutaka kusifiwa na kuipenda nafas ya MUNGU na mitume wake!Habari ndugu zangu Watanzania.
Nimekuwa nikifatilia mijadala ya kumsema hayati Magufuli ikiwa inataradadi hapa jukwaani. Nipende tu kusema hakuna mwanadamu aliyemkamilifu. Kila mwanadamu ana mazuri na mabaya yake. Wote sisi ni waja wa Mwenyezi Mungu...
Tuliza hasira na mihemko ili ujenge hoja nzuri na watu wakuelewe. Hoja ya kutetea wanyonge was totally " propaganda '' ilikuwa njia ya kupata public sympathy kwa mambo mepesi tu.ingekuwa hivyo asingekuwa na wasaidizi.ujue shida yenu mnafanya propaganda kwa kuropoka.
hamna mwenye hasira hapa ni kichwa chako kigumu kinafanya nitumie lugha yenye amri ili kukuongezea umakini.Tuliza hasira na mihemko ili ujenge hoja nzuri na watu wakuelewe. Hoja ya kutetea wanyonge was totally " propaganda '' ilikuwa njia ya kupata public sympathy kwa mambo mepesi tu..
tunathibitishaje kama ni ya kwake wakati wanaotakiwa kujibu wapo,hawajibu na ndio wako kwenye usukani!!!!Kwani kuna aliyeenda kumfukua kaburini, hapa watu wanaweka rekodi sawa ili asitokee kiongozi mwingine akafanya kama yeye. Hayo mapungufu yake hakutaka yasemwe akiwa hai, acha watu wayaseme sasa na siku yoyote watakayo.
Miaka 23 hatujamwacha Mwalimu Nyerere akapumzika. Mwl si alikuwa mwanadamu! kwanini hatudhani kwamba hakuwa perfect. Makapa hatujamwacha akapumzika n.k.Naunga mkono hoja, JPM was a human being just like human being mwingine yeyote, anaweza kuwa na mapungufu yake ya kibinaadamu kama binadamu mwingine yeyote, no one is perfect, aachwe apumzike kwa amani
P
Mr. Mayalla I'd rather think otherwise but let me put it clear...Naunga mkono hoja, JPM was a human being just like human being mwingine yeyote, anaweza kuwa na mapungufu yake ya kibinaadamu kama binadamu mwingine yeyote, no one is perfect, aachwe apumzike kwa amani
P
Habari ndugu zangu Watanzania.
Nimekuwa nikifatilia mijadala ya kumsema hayati Magufuli ikiwa inataradadi hapa jukwaani. Nipende tu kusema hakuna mwanadamu aliyemkamilifu...
Wakati anaishi, hakuwapa watu amani. Why yeye apewe amani?Naunga mkono hoja, JPM was a human being just like human being mwingine yeyote, anaweza kuwa na mapungufu yake ya kibinaadamu kama binadamu mwingine yeyote, no one is perfect, aachwe apumzike kwa amani
P
Wote sisi ni waja wa Mwenyezi Mungu, na hatujakamilika
Huyu alikuwa kiongozi kama walivyo viongozi wote duniani. Mbona watu wanamsoma Hitler, Churchill , Mahtma , Lincoln, mapapa wa Vatican n.k.Mr. Mayalla I'd rather think otherwise but let me put it clear...
JPM is long dead,he cannot apologise,he cannot respond nor can he defend himself against all these allegations.
Ipi ni abuse? Kumbuka alikuwa public figure, kuna msemo '' with great power comes great responsibilities ''My question is,why do politicians and some few people use a lot of resources and time to abuse somebody who is already a spirit...?
Nukuu ya kwanza '' unakataza watu wasimseme marehemu kwasababu ameshafiriki , hawez kujitetea au kuomba msamaha. Nukuu yako ya mwisho unajipa uwezo wa kumsifia kwa 80% ya Watanzania kujua nia yake njema na kumtetea katika nafsi zao''Uzuri almost 80% ya watanzania wanajua magufuli alikuwa ni rais mwenye nia njema.
Watamtetea kwenye nafsi zao....magufuli ataandikwa kwenye vitabu na watoto wetu watamsoma.