Namuona Paul Kagame akiwa kama Putin hapa Afrika Mashariki

Anhaaa........
Interesting........
 
O Oya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
 
Putin aneshateka na kuyamiliki majimbo 3 ya Ukraine. Huu siyo ushindi?
 
Naamini hata migogoro mingi inayotokea hapa east africa na kati kuna mkono wa kagame huyu mtu ni msumbufu sana
 
Nilijua huna hoja.
Wewe Mushuti huwezi kuisema Tanzania vizuri, lakini kwa taarifa yako, Rwanda inashughulikiwa na kikosi cha Kakonko tu na ndani ya masaa 24 Rwanda inakuwa tarafa ndani ya Wilaya ya Kakonko na Kagame anakuwa Katibu Tarafa na tunampa pikipiki ya kutembelea Tarafa yake ya Rwanda! Ahahahahah!
 
Pamoja na ujinga wetu mwingi lakini kati ya maeneo ambayo Tanzania ni imara ni upande wa jeshi na ujasusi. Kundi dogo la special elites wa JW wanaweza kuingia HQ yao within 3days [emoji41]
Duh, mkuu 'MTAZAMO' umeweka hata muda wa kutimiza malengo?

Naona umejiamini kwelikweli.

Isingekuwa haya madhaifu yanayoenea kila sehemu siku hizi chini ya CCM iliyooza, upande huo tulikuwa na nafuu sana.
Lakini sasa CCM imeingia kila sehemu na kuharibu kila kitu kila mahali inakotia mkono wake.
Viongozi makini wanachukuliwa huko na kuteuliwa kuwa wapishi wa uovu wa CCM. Katika hali ya namna hiyo kweli hata taasisi muhimu na imara kama hiyo itaendelea kuwa na umakini?

Viongozi wataanza kupigana vikumbo ili wapate uteuzi.
 
Pamoja na ujinga wetu mwingi lakini kati ya maeneo ambayo Tanzania ni imara ni upande wa jeshi na ujasusi. Kundi dogo la special elites wa JW wanaweza kuingia HQ yao within 3days [emoji41]
Maskini
 
Kwani Tanzania hii ni vita gani serious tumepigana?
Tumepigana vita nyingi - kuanzia vya mreno (Mozambique, Angola), Namibia, Zimbabwe, Africa ya Kusini, ushelisheli, Ngazija, mpaka Uganda etc. (etc = for security reasons hazitajwi). Nafikiri kama hujui vita hizo, basi ulikuwa mdogo! Vita hiyo yote majeshi yetu yalikuwa front line (hence front line states)...
 
Putin anachukua Maeneo ya Russia.
 
Atakachofanywa pia in kama Putin anavyofanywa sasahivi,Yaani kukimbia aibu kubaki aibu,kilichobaki ni kutishia manyuklia tu
Putin Gani unayemuongelea?amesharudisha maeneo yaliyotakiwa kurudi urusi.
 
Case ya putin ni tofauti na ya huyo unayemsifia Yale Maeneo yaliyorudishwa urusi ni Maeneo halali ya urusi watu mnatakiwa kujua kwanini warusi wameamua kurudisha Yale Maeneo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…