..naona hili neno umelijua leo, hongera.Keyboard warrior hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
..naona hili neno umelijua leo, hongera.Keyboard warrior hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Keyboard warrior 🤣🤣🤣..naona hili neno umelijua leo, hongera.
Toka barabarani acha uoga yaani mnamuachia jamaa anateseka kwenye chumba Cha death row pekee yake nyie mmekalia kuchimba mikwara mitandaoni mnafikiri ccm watawasikiliza aisee mtasubiri sanaa huo ni uoga Wala sio kitu kingine chochote ukweli usemwe
Aisee kitu ambacho Lissu anashindwa kuelewa Tanzania ni sehemu ya wajinga na masikini waliokubali kuishi maisha ya kifukara
Sasa jiulize anaowatetea sasa miezi miwili imepita Lissu yupo ndani kazi yao ni kutoa laana mtandaoni yaani kwamba kila mtu anachimba mkwara nyuma ya keyboard kwamba mwaka huu kitachimbika wakati muda huo Lissu analala kwenye gereza la death row
Cha kumshauri Lissu akitoka gerezani aungane na CCM ale mema ya nchi au aendelee kuishi na wanafiki huku Kila muda akiuangalia mlango wa gereza, watanzania washalidhika na hayo maisha Lissu unajisumbua tu
Nilidhani una wafuasi wa damu kwamba ulivyokamatwa tu pangechimbika ila walikaa kimya. Lissu jua kwamba watanzania 100% ni keyboard warrior
..kaandike ukutani usisahau.Keyboard warrior 🤣🤣🤣
Mkuu lissu ameshapigwa risasi za kutosha kwenye mwili wake kwanini asilambe asali maana umri wenyewe umeenda Kwa ushauri wangu akale mema ya nchi
Mpuuzi mmoja hujitambui 🗑 🚮amejitolea kiharakati, hajatumwa na watanzania, apambane na hali yake
We na TAL ni wapuuzi /imbeciles, kama haujajikomboa kimaisha na future ya familia yako, lazima utegemee ndoto za wanasiasa kama wakombizi wako, so lazima umwone TAL kama masia wako, pls be free hawa politicians ni familia moja, mwisho wa deal utachwa solemba, "The World is Living Suffering is Your Choice "Mpuuzi mmoja hujitambui 🗑 🚮
Wewe ni shogaWe na TAL ni wapuuzi /imbeciles, kama haujajikomboa kimaisha na future ya familia yako, lazima utegemee ndoto za wanasiasa kama wakombizi wako, so lazima umwone TAL kama masia wako, pls be free hawa politicians ni familia moja, mwisho wa deal utachwa solemba, "The World is Living Suffering is Your Choice "
we umezaliwa ukiwa shoga, unamtetea mtetezi wenu wa gays, ndyo unatafuta mashoga JFWewe ni shoga
Kweli kabisa Samia mitano tenaHujui lolote..akili yako ina uwezo wa kufikiri mwisho wa pua yako.