Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Aisee kitu ambacho Lissu anashindwa kuelewa Tanzania ni sehemu ya wajinga na masikini waliokubali kuishi maisha ya kifukara
Sasa jiulize anaowatetea sasa miezi miwili imepita Lissu yupo ndani kazi yao ni kutoa laana mtandaoni yaani kwamba kila mtu anachimba mkwara nyuma ya keyboard kwamba mwaka huu kitachimbika wakati muda huo Lissu analala kwenye gereza la death row
Cha kumshauri Lissu akitoka gerezani aungane na CCM ale mema ya nchi au aendelee kuishi na wanafiki huku Kila muda akiuangalia mlango wa gereza, watanzania washalidhika na hayo maisha Lissu unajisumbua tu
Nilidhani una wafuasi wa damu kwamba ulivyokamatwa tu pangechimbika ila walikaa kimya. Lissu jua kwamba watanzania 100% ni keyboard warrior