Namuonea huruma sana Tundu Lissu kwa kutetea wajinga na masikini

Namuonea huruma sana Tundu Lissu kwa kutetea wajinga na masikini

Ni hayo tu Mimi nimeongea ukweli mchungu
Hakuna Uchungu wowote hapo,,, we umelalamika tu kama hao wajinga unaowaita... Si ungesema ilitakiwa wafanye nini ili tukuone kama nawe una wazo jipya pengine maana nawe ni kama wao tu...
 
Muda haumsubiri Mtu Wananchi wanasimama na mapolisi wanaongea nao nakulalamika wamefungiwa kanisa na hata jiwe hawajarusha na mapolis wamekaa na amani eti maandamano
Time factor ni variable muhimu kwenye kila aspect ya maisha. Muda haujawahi kuwa hauna umuhimu mkuu.
 
Aisee kitu ambacho lissu anashindwa kuelewa tanzania ni sehemu ya wajinga na masikini waliokubali kuishi maisha ya kifukara Sasa jiulize anao watetea Sasa miezi miwili imepita lissu yupo ndani kazi Yao ni kutoa laana mtandaoni yaani kwamba Kila mtu anachimba mkwara nyuma ya keyboard kwamba mwaka huu kitachimbika wakati mda huo lissu analala kwenye gereza la death row Cha kumshauri lissu akitoka gerezani aungane na ccm ale mema ya nchi au aendelee kuishi na wanafki huku Kila mda akiuangalia mlango wa gereza watanzania washalidhika na hayo maisha lissu unajisumbua tu nilidhani unawafuasi wa damu kwamba ulivyokamatwa tu pangechimbika ila walikaa kimya lissu jua kwamba watanzania 100% ni keyboard warrior
Ushauri mbaya kabisa tangu mwaka huu uanze. Haiko hivyo katika ukombozi.
 
Tatizo ni pale anapotokea rais mzalendo na wapinzani wanafanya kukufuru matokeo yake ndiyo haya yanayo wakuta ....chadema niliwaonya waziwazi hapa jf ...sasa kuoambana na upumbavu wa mwanamke ni ngumu sana la wakubali kumwaga damu nyingi kufanya samia azidi kukataliwa
Unajua maana ya uzalendo au ni uchawa umekujaa hadi chooni??
 
Acha kwanza akae ndani angalau mwaka mmoja, kashazoea kukimbilia Belgium akishaongea ujinga wake safari ngoja akae mahabusu
 
Time factor ni variable muhimu kwenye kila aspect ya maisha. Muda haujawahi kuwa hauna umuhimu mkuu.
Sure hata israel ilikata tamaa kwa jinsi waliteska kwakuwa watumwa wa pharao,makes sense
Hawato Rule milele
 
Tatizo ni pale anapotokea rais mzalendo na wapinzani wanafanya kukufuru matokeo yake ndiyo haya yanayo wakuta ....chadema niliwaonya waziwazi hapa jf ...sasa kuoambana na upumbavu wa mwanamke ni ngumu sana la wakubali kumwaga damu nyingi kufanya samia azidi kukataliwa
Upo Sahihi
 
Haya ni elimu wewe uzalendo ni nini?
Kweli akili kumkichwa changanya matako mavi ya sigande wewe umesema raisi mzalendo Je, Niambie juu ya kifo cha kibao Mama ako mzalendo kaongea vipi, na juu ya Gwajima huyo mzalendo wako ameongea Kipi? Tumia akili sio mpaka uwe chooni ujue hapa nipakuchuchuma apa nipakukaa sio kwamba ukiwa chawa ndio uwe "mbwa" unaeza ukawa chawa ila nyani unafikria na kuhoji
 
Aisee kitu ambacho lissu anashindwa kuelewa tanzania ni sehemu ya wajinga na masikini waliokubali kuishi maisha ya kifukara Sasa jiulize anao watetea Sasa miezi miwili imepita lissu yupo ndani kazi Yao ni kutoa laana mtandaoni yaani kwamba Kila mtu anachimba mkwara nyuma ya keyboard kwamba mwaka huu kitachimbika wakati mda huo lissu analala kwenye gereza la death row Cha kumshauri lissu akitoka gerezani aungane na ccm ale mema ya nchi au aendelee kuishi na wanafki huku Kila mda akiuangalia mlango wa gereza watanzania washalidhika na hayo maisha lissu unajisumbua tu nilidhani unawafuasi wa damu kwamba ulivyokamatwa tu pangechimbika ila walikaa kimya lissu jua kwamba watanzania 100% ni keyboard warrior
Hata Mandela alipambana hivi hivi
 
HATA WANANCHI MILLION 2 WAKIMKATA SAMIA MTANDAONI HAINA MAANA MPAKA YATOKE MAANDAMANO HAP NCHINI

HAITAJI KURA YA WANANCHI HATA HAITAJI KURA YA CCM ANAITAJI TUU HUO UCHAGUZI USIKIKE UNAFANYIKA YEYE ASHINDEE SASA HAPA KUNAUZALENDO WALA HAKI GANI KWENYE HII NCHI
MAGUFULI ALIKOSEA SANA KUONDOAA UPINZANI HAKUNA BUNGENI
 
Keyboard warrior ingia barabarani na bango lissu aachiwe mikwara ya mtandaoni Sasa imeisha huwezi kushinda vita ukiwa mtandaoni lazima upasuke ndio ushinde huu ni ukweli mchungu
Tulia sister angu haya mambo huyawezi
 
Back
Top Bottom