Namuonea huruma sana Tundu Lissu kwa kutetea wajinga na masikini

Lissu shababi na jasiri haswaaaaa na si wale wa kujikuta madume ya mbegu kisa yanakojoa kwa kusimama ila yakisikia nywaaaa kende nywiiii
 
Hakuna Uchungu wowote hapo,,, we umelalamika tu kama hao wajinga unaowaita... Si ungesema ilitakiwa wafanye nini ili tukuone kama nawe una wazo jipya pengine maana nawe ni kama wao tu...
Mimi sio mfuasi wa lissu kama mpaka mda huu hujajua Cha kufanya basi na wewe ni Moja ya mjinga niliowazungumzia yaani mwenyekiti wako kadakwa Kwa kesi za mchongo na unasema hujui la kufanya kazi ipo
 
Hii inadhihilisha kuwa aliyempiga risasi alikuwa ni Makamu wa rais wa kipindi hicho.Maana Kwa Sasa anataka kumuua Kwa kumbambika KESI za kijingajinga
 
Aisee kitu ambacho lissu anashindwa kuelewa tanzania ni sehemu ya wajinga na masikini waliokubali kuishi maisha ya kifukara Sasa jiulize anao watetea Sasa miezi miwili imepita lissu yupo ndani kazi Yao ni kutoa laana mtandaoni yaani kwamba Kila mtu anachimba mkwara nyuma ya keyboard kwamba mwaka huu kitachimbika wakati mda huo lissu analala kwenye gereza la death row Cha kumshauri lissu akitoka gerezani aungane na ccm ale mema ya nchi au aendelee kuishi na wanafki huku Kila mda akiuangalia mlango wa gereza watanzania washalidhika na hayo maisha lissu unajisumbua tu nilidhani unawafuasi wa damu kwamba ulivyokamatwa tu pangechimbika ila walikaa kimya lissu jua kwamba watanzania 100% ni keyboard warrior
..kwa maneno yako unadhani uliletwa duniani kuja kula na kwenda chooni! hata popo anaweza kuwa anajua kwa nini yupo duniani! Find the purpose of being here you fool!
 
Mimi sio mfuasi wa lissu wafuasi wake inabidi mumpiganie Sasa kama mnaishia kuchimba mikwara ya uoga mitandaoni hamna maana Kwa lissu mnakua ni wanafki a.k.a keyboard warrior
Nani alimpigania alipokuwa anamiminiwa risasi wewe bwege?
 
Aisee kitu ambacho lissu anashindwa kuelewa tanzania ni sehemu ya wajinga na masikini waliokubali kuishi maisha ya kifukara Sasa jiulize anao watetea Sasa miezi miwili imepita lissu yupo ndani kazi Yao ni kutoa laana mtandaoni yaani kwamba Kila mtu anachimba mkwara nyuma ya keyboard kwamba mwaka huu kitachimbika wakati mda huo lissu analala kwenye gereza la death row Cha kumshauri lissu akitoka gerezani aungane na ccm ale mema ya nchi au aendelee kuishi na wanafki huku Kila mda akiuangalia mlango wa gereza watanzania washalidhika na hayo maisha lissu unajisumbua tu nilidhani unawafuasi wa damu kwamba ulivyokamatwa tu pangechimbika ila walikaa kimya lissu jua kwamba watanzania 100% ni keyboard warrior
Wwampangie hvyo hvyo tarehe wasimuachie mpaka uchaguzi upite
 
lissu jua kwamba watanzania 100% ni keyboard warrior

HUJUI UNACHOKISEMA

Vast majority ya Watanzania
wanaotetewa hawajawahi kugusa keybord. Hawajui ku type.

Social political commentator ambae HUJUI UNAONGELEA JAMII YA WATU GANI. UNAJIONGELEA TUUU
!!
 
Huu ni ukweli mchungu, nasema sisi ni Maiti zitembeazo.
Na wanasiasa wameshajua hilo
 
Aisee kitu ambacho lissu anashindwa kuelewa tanzania ni sehemu ya wajinga na masikini waliokubali kuishi maisha ya kifukara Sasa jiulize anao watetea Sasa miezi miwili imepita lissu yupo ndani kazi Yao ni kutoa laana mtandaoni yaani kwamba Kila mtu anachimba mkwara nyuma ya keyboard kwamba mwaka huu kitachimbika wakati mda huo lissu analala kwenye gereza la death row Cha kumshauri lissu akitoka gerezani aungane na ccm ale mema ya nchi au aendelee kuishi na wanafki huku Kila mda akiuangalia mlango wa gereza watanzania washalidhika na hayo maisha lissu unajisumbua tu nilidhani unawafuasi wa damu kwamba ulivyokamatwa tu pangechimbika ila walikaa kimya lissu jua kwamba watanzania 100% ni keyboard warrior
Lissu nimemwona leo, kaanza kutepeta, si alijiona mbabe!! Kila akija mahakamani anapiga makelele!! Leo mwanzo mwisho anaongelea ugumu wa chumba anachokaa!! Na bado, mpaka akili zimruke kabisaaa!! Ye si chizi.
 
Huu ni ukweli mchungu, nasema sisi ni Maiti zitembeazo.
Na wanasiasa wameshajua hilo
..Jews were slaves in Egypt for 400 years n there were no one among themselves to rescue them, what happened..unafahamu?
 
Hujui kuandika, una mihemko kiasi hata koma na nukta hujui kuweka.
Keyboard warrior shida nini nenda kampambanie lissu sio kukaa unapiga mkwara nyuma ya keyboard unafikiri ccm wanaogopa huo mkwara wako wa kwenye simu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nani alimpigania alipokuwa anamiminiwa risasi wewe bwege?
Hasira za nini we keyboard warrior Toka hapo ulipo uende ukampiganie lissu sio kuandamana nyuma ya keyboard unafikiri ccm watatishika hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom