..ulitaka asiongee kuhusu haki zake?Lissu nimemwona leo, kaanza kutepeta, si alijiona mbabe!! Kila akija mahakamani anapiga makelele!! Leo mwanzo mwisho anaongelea ugumu wa chumba anachokaa!! Na bado, mpaka akili zimruke kabisaaa!! Ye si chizi.
..ulitaka asiongee kuhusu haki zake?Lissu nimemwona leo, kaanza kutepeta, si alijiona mbabe!! Kila akija mahakamani anapiga makelele!! Leo mwanzo mwisho anaongelea ugumu wa chumba anachokaa!! Na bado, mpaka akili zimruke kabisaaa!! Ye si chizi.
Ingia ulingoni sio unakua keyboard warrior hamna mageuzi yaliyofanywa na keyboard warriorHUJUI UNACHOKISEMA
Vast majority ya Watanzania
wanaotetewa hawajawahi kugusa keybord. Hawajui ku type.
Social political commentator ambae HUJUI UNAONGELEA JAMII YA WATU GANI. UNAJIONGELEA TUUU
!!
..hujui kitu kijana.Hasira za nini we keyboard warrior Toka hapo ulipo uende ukampiganie lissu sio kuandamana nyuma ya keyboard unafikiri ccm watatishika hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣
Mtu ALIE zaliwa kwenye utawala wa CHANCELLOR METTERNICH ukimwambia Kuna siku METTERNICH SYSTEM inge ondoka angekwambia ni NIGHTMARE.Hata mbuyu ulianza kama mchicha, hapo KE ilianza hivyo hivyo. Harakati za ukombozi sio lazima zifanikiwe na alieanzisha (japo inawezekana).
South Africa mfumo wa apertheid ulipingwa na wengi sana. Alikufa Steve Biko, alifungwa Mandela Robbin Island miaka 30, walifukuzwa nchini humo akina Thabo Mbeki lakini in the end walishinda.
Sawa kwa sasa watu unawaona wajinga ila sio ujinga wanavumilia lakini uvumilivu uko na mwisho.
Siku kila mtu akifikiwa na hii oppressive regime lazima kila mtu ata raise up.
NI suala la muda tu
Ujifiche kufanya nini mzee jitokeze acha uoga wa kuwa keyboard warrior Toka adharani ulengwe risasi ukiipambania nchi si unauchungu nayo🤣🤣🤣🤣🤣Wachache lazima tujifiche, hata Mandela alikuwa ndani lakini kuna wasouth walikuwa Morogoro wanapambana sema enzi hizo hapakuwa na internet
Keyboard warrior bhana🤣🤣🤣🤣..hujui kitu kijana.
amejitolea kiharakati, hajatumwa na watanzania, apambane na hali yakeUna point, japo siungi mkono TL Alambe asali ! Anaowapigania hawajitambui kabisa, anarisk mpaka maisha yake kwa majitu ambayo yapo yapo tu hayajui yanataka nini !
Ukweli mchungu ni huu yaani ana pambania MAITI.Aisee kitu ambacho lissu anashindwa kuelewa tanzania ni sehemu ya wajinga na masikini waliokubali kuishi maisha ya kifukara Sasa jiulize anao watetea Sasa miezi miwili imepita lissu yupo ndani kazi Yao ni kutoa laana mtandaoni yaani kwamba Kila mtu anachimba mkwara nyuma ya keyboard kwamba mwaka huu kitachimbika wakati mda huo lissu analala kwenye gereza la death row Cha kumshauri lissu akitoka gerezani aungane na ccm ale mema ya nchi au aendelee kuishi na wanafki huku Kila mda akiuangalia mlango wa gereza watanzania washalidhika na hayo maisha lissu unajisumbua tu nilidhani unawafuasi wa damu kwamba ulivyokamatwa tu pangechimbika ila walikaa kimya lissu jua kwamba watanzania 100% ni keyboard warrior
..huo ujinga ulio nao utatoka muda si mrefu.Keyboard warrior bhana🤣🤣🤣🤣
Toka ingia barabarani umpambanie lissu na umekili kwamba mguu wake mmoja mzima he we ni kilema au keyboard warrior muoga a.k.a mnafki wa lissuMtu ALIE zaliwa kwenye utawala wa CHANCELLOR METTERNICH ukimwambia Kuna siku METTERNICH SYSTEM inge ondoka angekwambia ni NIGHTMARE.
METTERNICH'S & HIS SPYING SYSTEM yaani watu waliogopa kuongea kukosoa SERIKALI hata wakiwa peke zao chooni
METTERNICH'S aliogopwa zaidi ya JPM alitengeneza mifumo yake na kila taarifa zilikua zinafika kwake na wapinzani wake wote walikua ELIMINATED kabisa kabisa na hakukua na mwanaume wa kuhojibama kukohoa kivyovyotee
Leo METTERNICH'S imebakia historia hata hili la maccm ni Jambo la muda TU hakuna kitu Cha MILELE.
Tukiogopa kufa tutakufa TU Nijambo la muda TU hata tukiacha harakati wataibuka kina LISSU wengi wengine
Bristol sisi ambao tumewai kupata ajari na kuvunjika vunjika huwa tunaishi na maumivu / mpaka Sasa tunatembea na maumivu. Je? Huyu lissu anae ISHI na dawa na maumivu Leo nimemsikia kwa kinywa chake kasema Kuna mguu mmoja haufanyi kazi sawa sawa.
Kupigania haki ni kuji sacrifice kwaio lissu Hana Cha kupoteza angekuaga opportunist kitambo angesha kina DOCTOR MOLLEL e.t.c all
Ujinga wa kuambiana ukweli kwamba wewe ni muoga kwani ni uongo mzee we ni muoga utaishia kuandika humu tu🤣🤣🤣🤣🤣..huo ujinga ulio nao utatoka muda si mrefu.
Ukiona mtu haelewi haya mambo ni either bado ni mtoto au ni kunguni tu anaejitoa ufahamu.Mtu ALIE zaliwa kwenye utawala wa CHANCELLOR METTERNICH ukimwambia Kuna siku METTERNICH SYSTEM inge ondoka angekwambia ni NIGHTMARE.
METTERNICH'S & HIS SPYING SYSTEM yaani watu waliogopa kuongea kukosoa SERIKALI hata wakiwa peke zao chooni
METTERNICH'S aliogopwa zaidi ya JPM alitengeneza mifumo yake na kila taarifa zilikua zinafika kwake na wapinzani wake wote walikua ELIMINATED kabisa kabisa na hakukua na mwanaume wa kuhojibama kukohoa kivyovyotee
Leo METTERNICH'S imebakia historia hata hili la maccm ni Jambo la muda TU hakuna kitu Cha MILELE.
Tukiogopa kufa tutakufa TU Nijambo la muda TU hata tukiacha harakati wataibuka kina LISSU wengi wengine
Bristol sisi ambao tumewai kupata ajari na kuvunjika vunjika huwa tunaishi na maumivu / mpaka Sasa tunatembea na maumivu. Je? Huyu lissu anae ISHI na dawa na maumivu Leo nimemsikia kwa kinywa chake kasema Kuna mguu mmoja haufanyi kazi sawa sawa.
Kupigania haki ni kuji sacrifice kwaio lissu Hana Cha kupoteza angekuaga opportunist kitambo angesha kina DOCTOR MOLLEL e.t.c all
Wafuasi wa Tundu wengi wao ni wavivu kama ww..akili za panzi zinafikiri km hivi.
amna mwana siasa yupo kwa ajili ya kuskiliza shida zako, lengo la mwanasiasa na siasa ni kushika uongozi, izo zingine mnazojifanya mnapambania ni nje ya kufanya siasa na znatakiwa kukemewa, mambo ya mtu anahama chama mnamuona msaliti ni ushambaAisee kitu ambacho lissu anashindwa kuelewa tanzania ni sehemu ya wajinga na masikini waliokubali kuishi maisha ya kifukara Sasa jiulize anao watetea Sasa miezi miwili imepita lissu yupo ndani kazi Yao ni kutoa laana mtandaoni yaani kwamba Kila mtu anachimba mkwara nyuma ya keyboard kwamba mwaka huu kitachimbika wakati mda huo lissu analala kwenye gereza la death row Cha kumshauri lissu akitoka gerezani aungane na ccm ale mema ya nchi au aendelee kuishi na wanafki huku Kila mda akiuangalia mlango wa gereza watanzania washalidhika na hayo maisha lissu unajisumbua tu nilidhani unawafuasi wa damu kwamba ulivyokamatwa tu pangechimbika ila walikaa kimya lissu jua kwamba watanzania 100% ni keyboard warrior
Toka barabarani acha uoga yaani mnamuachia jamaa anateseka kwenye chumba Cha death row pekee yake nyie mmekalia kuchimba mikwara mitandaoni mnafikiri ccm watawasikiliza aisee mtasubiri sanaa huo ni uoga Wala sio kitu kingine chochote ukweli usemweUkiona mtu haelewi haya mambo ni either bado ni mtoto au ni kunguni tu anaejitoa ufahamu.
Waulize monarchy za Han (Korea) zilikaa madarakani miaka mingapi, waulize kuhusu akina Pol Pot
Haki ya mahabusu wa kungojea capita punishment ndio hiyo sasa, si ana wabelgiji wake wanapiga makelele huko, Acha waendelee kumtetea kibaraka wao, we tokea chadema imekuwapo, na enzi hizo viongozi kabla yake walikamatwa tu sana, uliona wapi wakitetewa na mabeberu kama anavyotetewa Lissu!!? Huyu ni kibaraka wa wakoloni...ulitaka asiongee kuhusu haki zake?
Sasa wewe mwerevu unaowabatiza watu ujinga na huna solution umejuaje ni mjinga kama nawe si mjinga mmoja ambaye ni shujaa kilaza wa keyboard anayefikiri kutusi watu ni ujuajiMimi sio mfuasi wa lissu kama mpaka mda huu hujajua Cha kufanya basi na wewe ni Moja ya mjinga niliowazungumzia yaani mwenyekiti wako kadakwa Kwa kesi za mchongo na unasema hujui la kufanya kazi ipo
Juma Nature, "Migambo wanaruka na kukanyagana, hii, mwaiburuu"Sasa wewe mwerevu unaowabatiza watu ujinga na huna solution umejuaje ni mjinga kama nawe si mjinga mmoja ambaye ni shujaa kilaza wa keyboard anayefikiri kutusi watu ni ujuaji
... Halafu ujinga ni kitu "subjective", ili uonyeshe ujinga wao ilitakiwa tuone uwerevu wako wewe mwenye akili,,,
Kwa kifupi wafuasi wako kwenye right track, kama huna mbadala wa wazo basi piga kimya...