Namuonea huruma sana Tundu Lissu kwa kutetea wajinga na masikini

The man has made enough sacrifices. Itachukua miaka mingi watu kumuelewa na hoja zake na wakija kumuelewa watampa heshima stahiki.
 
Toka barabarani acha uoga yaani mnamuachia jamaa anateseka kwenye chumba Cha death row pekee yake nyie mmekalia kuchimba mikwara mitandaoni mnafikiri ccm watawasikiliza aisee mtasubiri sanaa huo ni uoga Wala sio kitu kingine chochote ukweli usemwe
 


Hata Mandela makaburu walimwambia hivyo kwa miaka 23
 
Mkuu lissu ameshapigwa risasi za kutosha kwenye mwili wake kwanini asilambe asali maana umri wenyewe umeenda Kwa ushauri wangu akale mema ya nchi
 

Attachments

  • 20250311_104713.jpg
    135.5 KB · Views: 8
Mpuuzi mmoja hujitambui 🗑 🚮
We na TAL ni wapuuzi /imbeciles, kama haujajikomboa kimaisha na future ya familia yako, lazima utegemee ndoto za wanasiasa kama wakombizi wako, so lazima umwone TAL kama masia wako, pls be free hawa politicians ni familia moja, mwisho wa deal utachwa solemba, "The World is Living Suffering is Your Choice "
 
Ulitaka wanafunzi wa Yesu washike upanga?

Mambo hayendi hivyo,

Nchi ni ya utawala wa kidemokrasia,

Ushahidi wa uhaini wa Lissu ndio tunamsubiri!

Hujaona ushindi wa Lissu hapo, yuppo wa kumzidi akiwa court?
 
Wewe ni shoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…