Namwambiaje huyu binti wa miaka 19 kuwa sina malengo nae?

Bint ni mzuri tu,tatzo sijawa tayari kuoa kwa sasahiv
Huyo binti utakuja mkumbuka, au ndo kusema unasubiri upate hela ndo uoe,

ukweli ni kwamba uyo binti hujampenda kihivyo, ungekua umempenda sana, ungemsajili fasta hata kama bado unakula na kulala kwa wazazi wako Rajabmbisha
 
Muombe kule kusiko ombeka najua atakataa then iyo ndio iwe sababu ya kumtema. Sema Vitoto vya siku hizi vina laana si ajabu kikakupa.
 
Hiyo imewahi kunitokea kuna binti nilimtongoza kimasihara ila yeye akazama mazima, akawa akija ghetto ananifulia ananipikia ananyoosha nguo zangu yaani full wife material, nikamwambia ntamuoa basi alifurahi kweli, nikawa najifanya husband material akiomba chochote nampatia kwa wakati, namnunulia zawadi za kila namna ila kiukweli sikuwahi kumpenda kabisa nilikuwa mpita njia tu, nilikuja kumwacha
 
Form four wamemaliza Mitihani Yao so wapo kila kona
 
Embu nipe namba yake PM me nimuoe , subir uzae wa kwako wa kike uone.
kama ni muslim sukuma namba PM.
 
Sisi ma senior enzi hizo tushazipitia sana. Ila madem wa mtaa mmoja hizo swaga tulikuwa hatuwambii eti nitakuoa unawaambia wa ng'ambo huko ukila unasepa mazima!! Kumbuka enzi zetu hata simu hazikuwepo. Ni mwendo wa mguu Kwa mguu.
 
Kweli bro,hata huyu nashangaa sikutegemea Kama angezams hivi
 
Huyo binti utakuja mkumbuka, au ndo kusema unasubiri upate hela ndo uoe,

ukweli ni kwamba uyo binti hujampenda kihivyo, ungekua umempenda sana, ungemsajili fasta hata kama bado unakula na kulala kwa wazazi wako Rajabmbisha
Ni kweli,moyo Wang huja kubal kihivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…