Rajabmbisha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 316
- 530
- Thread starter
- #81
Kweli lakin Sina malengo ya kuoa sahivKwa ke miaka 19 sio umri mdogo. Anaoleka huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli lakin Sina malengo ya kuoa sahivKwa ke miaka 19 sio umri mdogo. Anaoleka huyo
Hata hivyo Sina amani,Uzuri na wewe utakujaga kuwa na Binti shekhe, ni hayo tu
Nipe namba yake pm nikusaideKweli lakin Sina malengo ya kuoa sahiv
Huyo binti utakuja mkumbuka, au ndo kusema unasubiri upate hela ndo uoe,Bint ni mzuri tu,tatzo sijawa tayari kuoa kwa sasahiv
Kwan kuwa chuo ndio nini ndugu yangu?Miaka 19 mtoto? Si binti wa chuo kabisa huyo.
Embu nipe namba yake PM me nimuoe , subir uzae wa kwako wa kike uone.Amani iwe nanyi Wana JF, ipo hivi: nipo kwenye mahusiano na binti mmoja hapa mtaani kwetu. Tumekuwa tukidate kwa wiki mbili sasa. Mwanzoni alionekana mgumu sana kunielewa, lakini baada ya kukaza juhudi, hatimaye alinikubali.
Katika jitihada za kumshawishi, nilimuahidi kumuoa, na hapo ndipo nilipojichanganya, maana aliamini nitamuoa kweli. Lengo langu halikuwa hilo; nilikusudia kupita tu, na tayari nimeshafanikisha hilo. Hata usiku wa leo amelala kwangu.
Tatizo ni kwamba binti huyu amenipenda kupita kiasi, lakini mimi sina mpango naye. Ni binti mdogo mwenye umri wa miaka 19 tu. Sasa sijui nianzie wapi kumweleza kwamba sina malengo naye, bila kumuumiza.
Naomba mawazo yenu Wana JF, ushauri wenu ni muhimu.
Nyasi ipo ya kutoshaAna tako?
Hata hivyoPiga mimba
Ni Muslim tena mfanya ibada mzuriEmbu nipe namba yake PM me nimuoe , subir uzae wa kwako wa kike uone.
kama ni muslim sukuma namba PM.
Ashamaliza shuleForm four wamemaliza Mitihani Yao so wapo kila kona
Kweli bro,hata huyu nashangaa sikutegemea Kama angezams hiviHiyo imewahi kunitokea kuna binti nilimtongoza kimasihara ila yeye akazama mazima, akawa akija ghetto ananifulia ananipikia ananyoosha nguo zangu yaani full wife material, nikamwambia ntamuoa basi alifurahi kweli, nikawa najifanya husband material akiomba chochote nampatia kwa wakati, namnunulia zawadi za kila namna ila kiukweli sikuwahi kumpenda kabisa nilikuwa mpita njia tu, nilikuja kumwacha
Nitamuacha tu kimya kimyaMuombe kule kusiko ombeka najua atakataa then iyo ndio iwe sababu ya kumtema. Sema Vitoto vya siku hizi vina laana si ajabu kikakupa.
Ni kweli,moyo Wang huja kubal kihivyoHuyo binti utakuja mkumbuka, au ndo kusema unasubiri upate hela ndo uoe,
ukweli ni kwamba uyo binti hujampenda kihivyo, ungekua umempenda sana, ungemsajili fasta hata kama bado unakula na kulala kwa wazazi wako Rajabmbisha