Nanauka achana na hiyo njia ya maigizo ya kisiasa kupata attention ya vijana

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Kupanda bodaboda, kula kwa mama ntilie ugali dagaa na maigizo mengine ni chini hata ya matarajio ya aliyekuteua. Ishu za hivyo waachie wanasiasa wasio wabunifu waliozoea uongo. Wewe kufanya mbanga kama hizo ni kufanya tu uonekane huna jipya.

Ninadhani uwe tu realistic. Nenda onana na vijana wape nafasi watoe maoni yao. Huna haja ya kuwahutubia sana. Kuna mambo mengi tu yakifanyiwa kazi yatagusa maisha ya vijana. Usipoteze muda kwa drama zilizopitwa na wakati.

Kwa mfano mikopo na ruzuku kwa vijana ni kero kubwa. Kuna mambo mengi yanayotia hasira kwenye hiyo mikopo. Pia bado sheria zetu hazina unafuu kwa kijana aliye-graduate anayejitafuta kupitia kujiajiri. Kijana anatoka nje ya geti la chuo na invoice ya HESLB ila akianza kujiajiri tayari anavamiwa na mamlaka kadhaa za tozo na kodi kama nyuki bila hata kumpa grace period hata ya miezi 6 ajipange. Wasikilize vijana kisha peleka muswada bungeni sheria zifanyiwe marekebisho na kutungwa mpya kwa ajili ya vijana.

Kuigiza kuwa uko sawa na vijana wavuja jasho wanaokula ugali dagaa kila siku haina msaada kwa vijana wala serikali. Hiyo ni sawa na kuwahimiza waendelee kuwa maskini zaidi kwa kutofikiria nje ya box. Vijana pia wanataka wali kuku na kinywaji baridi. Wape matumaini ya kufika ndoto zao badala ya kuwafanya waone sawa tu kula ugali dagaa.
 
😁😄 Hapa naunga mkono hoja...sio zile bla bla bla za kuponda diaspora wa bongo wanaoishi USA
 
Hapo hajui anamkwaza Bi.Nywinywi na familia yake; ataokotwa mto Kyela muda si mrefu hii familia haina mswalia mtume
 
ndio utambue kwamba lengo ni kuwarubuni na siyo kuwasaidia, kwani wakiwasaidia na wakajikomboa watawezaje kuwatala na kuwanyonya? kama ni kweli wanawajali walikuwa wapi siku zote hizo hadi maafa yatokee ndiyo watambue kwamba kuna vijana wasio na mbele wala nyuma? hivi nchi kama tanzagiza ambapo ukifungua tu mlango wa nyumbani kwako unaona matatizo kila mahali unahitaji sinema na maigizo hadi vifo vitokee ndio utambue kwamba kuna shida ya umaskini kwa vijana? ...
 
Kupanda bodaboda, kula kwa mama ntilie ugali dagaa na maigizo mengine ni chini hata ya matarajio ya aliyekuteua. Ishu za hivyo waachie wanasiasa wasio wabunifu waliozoea uongo. Wewe kufanya mbanga kama hizo ni kufanya tu uonekane huna jipya.

Ninadhani uwe tu realistic. Nenda onana na vijana wape nafasi watoe maoni yao. Huna haja ya kuwahutubia sana. Kuna mambo mengi tu yakifanyiwa kazi yatagusa maisha ya vijana. Usipoteze muda kwa drama zilizopitwa na wakati.

Kwa mfano mikopo na ruzuku kwa vijana ni kero kubwa. Kuna mambo mengi yanayotia hasira kwenye hiyo mikopo. Pia bado sheria zetu hazina unafuu kwa kijana aliye-graduate anayejitafuta kupitia kujiajiri. Kijana anatoka nje ya geti la chuo na invoice ya HESLB ila akianza kujiajiri tayari anavamiwa na mamlaka kadhaa za tozo na kodi kama nyuki bila hata kumpa grace period hata ya miezi 6 ajipange. Wasikilize vijana kisha peleka muswada bungeni sheria zifanyiwe marekebisho na kutungwa mpya kwa ajili ya vijana.

Kuigiza kuwa uko sawa na vijana wavuja jasho wanaokula ugali dagaa kila siku haina msaada kwa vijana wala serikali. Hiyo ni sawa na kuwahimiza waendelee kuwa maskini zaidi kwa kutofikiria nje ya box. Vijana pia wanataka wali kuku na kinywaji baridi. Wape matumaini ya kufika ndoto zao badala ya kuwafanya waone sawa tu kula ugali dagaa.
Sijawahi mkubali huyo jamaa SIJUI WATU wanamkubali Kwa kipi
 
Umetoa ushauri vizuri Sana.

MTU kuwa karibu na jamii NI hulka sio mpaka awe kiongozi.

Kama sio hulka ni maigizo tuu
 
Watu walioko madarakani kwa matokeo ya kupika wanapata wapi hiyo akili?
 
Huyu motivational speaker, Nanauka hana jipya na wizara yake hii mpya.

Matatizo ya vijana ni mtambuka, hayatatuliwi kwa maigizo bali kubadili mifumo ya kisiasa, uongozi na mitazamo ya kijamii.

Kuundwa kwa wizara ya kazi kumetatua matatizo ya Nanauka tu kwa kupewa uwaziri.
 
Sijawahi mkubali huyo jamaa SIJUI WATU wanamkubali Kwa kipi
Mh ni motivational speaker,sidhani kama ana ushawishi mkubwa kwa vijana wa kitanzania.

Labda kwa wasomaji wa vitabu sawa,ila asilimia kubwa ya watz sio wasomaji.

Inabidi atulie saana,awe real awe genuine afanye kazi,asiigize kama anafanya kampeni
 
Back
Top Bottom