MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
😁😄 Hapa naunga mkono hoja...sio zile bla bla bla za kuponda diaspora wa bongo wanaoishi USAKupanda bodaboda, kula kwa mama ntilie ugali dagaa na maigizo mengine ni chini hata ya matarajio ya aliyekuteua. Ishu za hivyo waachie wanasiasa wasio wabunifu waliozoea uongo. Wewe kufanya mbanga kama hizo ni kufanya tu uonekane huna jipya.
Ninadhani uwe tu realistic. Nenda onana na vijana wape nafasi watoe maoni yao. Huna haja ya kuwahutubia sana. Kuna mambo mengi tu yakifanyiwa kazi yatagusa maisha ya vijana. Usipoteze muda kwa drama zilizopitwa na wakati.
Kwa mfano mikopo na ruzuku kwa vijana ni kero kubwa. Kuna mambo mengi yanayotia hasira kwenye hiyo mikopo. Pia bado sheria zetu hazina unafuu kwa kijana aliye-graduate anayejitafuta kupitia kujiajiri. Kijana anatoka nje ya geti la chuo na invoice ya HESLB ila akianza kujiajiri tayari anavamiwa na mamlaka kadhaa za tozo na kodi kama nyuki bila hata kumpa grace period hata ya miezi 6 ajipange. Wasikilize vijana kisha peleka muswada bungeni sheria zifanyiwe marekebisho na kutungwa mpya kwa ajili ya vijana.
Kuigiza kuwa uko sawa na vijana wavuja jasho wanaokula ugali dagaa kila siku haina msaada kwa vijana wala serikali. Hiyo ni sawa na kuwahimiza waendelee kuwa maskini zaidi kwa kutofikiria nje ya box. Vijana pia wanataka wali kuku na kinywaji baridi. Wape matumaini ya kufika ndoto zao badala ya kuwafanya waone sawa tu kula ugali dagaa.
Hapo hajui anamkwaza Bi.Nywinywi na familia yake; ataokotwa mto Kyela muda si mrefu hii familia haina mswalia mtumeKupanda bodaboda, kula kwa mama ntilie ugali dagaa na maigizo mengine ni chini hata ya matarajio ya aliyekuteua. Ishu za hivyo waachie wanasiasa wasio wabunifu waliozoea uongo. Wewe kufanya mbanga kama hizo ni kufanya tu uonekane huna jipya.
Ninadhani uwe tu realistic. Nenda onana na vijana wape nafasi watoe maoni yao. Huna haja ya kuwahutubia sana. Kuna mambo mengi tu yakifanyiwa kazi yatagusa maisha ya vijana. Usipoteze muda kwa drama zilizopitwa na wakati.
Kwa mfano mikopo na ruzuku kwa vijana ni kero kubwa. Kuna mambo mengi yanayotia hasira kwenye hiyo mikopo. Pia bado sheria zetu hazina unafuu kwa kijana aliye-graduate anayejitafuta kupitia kujiajiri. Kijana anatoka nje ya geti la chuo na invoice ya HESLB ila akianza kujiajiri tayari anavamiwa na mamlaka kadhaa za tozo na kodi kama nyuki bila hata kumpa grace period hata ya miezi 6 ajipange. Wasikilize vijana kisha peleka muswada bungeni sheria zifanyiwe marekebisho na kutungwa mpya kwa ajili ya vijana.
Kuigiza kuwa uko sawa na vijana wavuja jasho wanaokula ugali dagaa kila siku haina msaada kwa vijana wala serikali. Hiyo ni sawa na kuwahimiza waendelee kuwa maskini zaidi kwa kutofikiria nje ya box. Vijana pia wanataka wali kuku na kinywaji baridi. Wape matumaini ya kufika ndoto zao badala ya kuwafanya waone sawa tu kula ugali dagaa.
Diaspora Nyani na mpagani Kiranga huwa wanazingua kinyama. 😄😁😄 Hapa naunga mkono hoja...sio zile bla bla bla za kuponda diaspora wa bongo wanaoishi USA
Sijawahi mkubali huyo jamaa SIJUI WATU wanamkubali Kwa kipiKupanda bodaboda, kula kwa mama ntilie ugali dagaa na maigizo mengine ni chini hata ya matarajio ya aliyekuteua. Ishu za hivyo waachie wanasiasa wasio wabunifu waliozoea uongo. Wewe kufanya mbanga kama hizo ni kufanya tu uonekane huna jipya.
Ninadhani uwe tu realistic. Nenda onana na vijana wape nafasi watoe maoni yao. Huna haja ya kuwahutubia sana. Kuna mambo mengi tu yakifanyiwa kazi yatagusa maisha ya vijana. Usipoteze muda kwa drama zilizopitwa na wakati.
Kwa mfano mikopo na ruzuku kwa vijana ni kero kubwa. Kuna mambo mengi yanayotia hasira kwenye hiyo mikopo. Pia bado sheria zetu hazina unafuu kwa kijana aliye-graduate anayejitafuta kupitia kujiajiri. Kijana anatoka nje ya geti la chuo na invoice ya HESLB ila akianza kujiajiri tayari anavamiwa na mamlaka kadhaa za tozo na kodi kama nyuki bila hata kumpa grace period hata ya miezi 6 ajipange. Wasikilize vijana kisha peleka muswada bungeni sheria zifanyiwe marekebisho na kutungwa mpya kwa ajili ya vijana.
Kuigiza kuwa uko sawa na vijana wavuja jasho wanaokula ugali dagaa kila siku haina msaada kwa vijana wala serikali. Hiyo ni sawa na kuwahimiza waendelee kuwa maskini zaidi kwa kutofikiria nje ya box. Vijana pia wanataka wali kuku na kinywaji baridi. Wape matumaini ya kufika ndoto zao badala ya kuwafanya waone sawa tu kula ugali dagaa.
Kupanda bodaboda, kula kwa mama ntilie ugali dagaa na maigizo mengine ni chini hata ya matarajio ya aliyekuteua. Ishu za hivyo waachie wanasiasa wasio wabunifu waliozoea uongo. Wewe kufanya mbanga kama hizo ni kufanya tu uonekane huna jipya.
Ninadhani uwe tu realistic. Nenda onana na vijana wape nafasi watoe maoni yao. Huna haja ya kuwahutubia sana. Kuna mambo mengi tu yakifanyiwa kazi yatagusa maisha ya vijana. Usipoteze muda kwa drama zilizopitwa na wakati.
Kwa mfano mikopo na ruzuku kwa vijana ni kero kubwa. Kuna mambo mengi yanayotia hasira kwenye hiyo mikopo. Pia bado sheria zetu hazina unafuu kwa kijana aliye-graduate anayejitafuta kupitia kujiajiri. Kijana anatoka nje ya geti la chuo na invoice ya HESLB ila akianza kujiajiri tayari anavamiwa na mamlaka kadhaa za tozo na kodi kama nyuki bila hata kumpa grace period hata ya miezi 6 ajipange. Wasikilize vijana kisha peleka muswada bungeni sheria zifanyiwe marekebisho na kutungwa mpya kwa ajili ya vijana.
Kuigiza kuwa uko sawa na vijana wavuja jasho wanaokula ugali dagaa kila siku haina msaada kwa vijana wala serikali. Hiyo ni sawa na kuwahimiza waendelee kuwa maskini zaidi kwa kutofikiria nje ya box. Vijana pia wanataka wali kuku na kinywaji baridi. Wape matumaini ya kufika ndoto zao badala ya kuwafanya waone sawa tu kula ugali dagaa.
Inasikitisha sana bro.Umetoa ushauri vizuri Sana.
MTU kuwa karibu na jamii NI hulka sio mpaka awe kiongozi.
Kama sio hulka ni maigizo tuu
Daah mkuu hii comment imenikumbusha mbali wakati nasoma sana machapisho ya MSSee you at the bottom.
Watu walioko madarakani kwa matokeo ya kupika wanapata wapi hiyo akili?Kupanda bodaboda, kula kwa mama ntilie ugali dagaa na maigizo mengine ni chini hata ya matarajio ya aliyekuteua. Ishu za hivyo waachie wanasiasa wasio wabunifu waliozoea uongo. Wewe kufanya mbanga kama hizo ni kufanya tu uonekane huna jipya.
Ninadhani uwe tu realistic. Nenda onana na vijana wape nafasi watoe maoni yao. Huna haja ya kuwahutubia sana. Kuna mambo mengi tu yakifanyiwa kazi yatagusa maisha ya vijana. Usipoteze muda kwa drama zilizopitwa na wakati.
Kwa mfano mikopo na ruzuku kwa vijana ni kero kubwa. Kuna mambo mengi yanayotia hasira kwenye hiyo mikopo. Pia bado sheria zetu hazina unafuu kwa kijana aliye-graduate anayejitafuta kupitia kujiajiri. Kijana anatoka nje ya geti la chuo na invoice ya HESLB ila akianza kujiajiri tayari anavamiwa na mamlaka kadhaa za tozo na kodi kama nyuki bila hata kumpa grace period hata ya miezi 6 ajipange. Wasikilize vijana kisha peleka muswada bungeni sheria zifanyiwe marekebisho na kutungwa mpya kwa ajili ya vijana.
Kuigiza kuwa uko sawa na vijana wavuja jasho wanaokula ugali dagaa kila siku haina msaada kwa vijana wala serikali. Hiyo ni sawa na kuwahimiza waendelee kuwa maskini zaidi kwa kutofikiria nje ya box. Vijana pia wanataka wali kuku na kinywaji baridi. Wape matumaini ya kufika ndoto zao badala ya kuwafanya waone sawa tu kula ugali dagaa.
🤣🤣🤣🤣T O ameshapata uhuru wa kifedha.
Alikuwa anahubiri vijana waishi na ndoto kubwa leo kajipata anawaaminish vijana umaskini ni uzalendo 🤣T O ameshapata uhuru wa kifedha.
Ukitoka wewe nafuatia mimi.. kwanza ni Waziri feki..Sijawahi mkubali huyo jamaa SIJUI WATU wanamkubali Kwa kipi
Mh ni motivational speaker,sidhani kama ana ushawishi mkubwa kwa vijana wa kitanzania.Sijawahi mkubali huyo jamaa SIJUI WATU wanamkubali Kwa kipi