Nanauka achana na hiyo njia ya maigizo ya kisiasa kupata attention ya vijana

Nimeamini kuna muda saa mbovu inasema ukweli, hatimaye na wewe umeliona hilo.
 
Ungeanza kumwangalia kwanza mteuaji wake
Lakini mtu akihamia huko usitarajie atumie akili zake , anakuta aina nyingine za akili kabisa
 
Bado pesa hazijamkolea akijaza atasahau maigizo yoootee
 
Dogo analeta u motivation speaker wake kwny maisha ya watu yaliyopotea?
Ku ma mae zake hapa hapa joel
 
Sijawahi ona u special au u great wa huyu Joel,
Pa1 na kusoma vitabu vyake baadhi, bado sijaona km ana ushawishi huo, ni vile wanamkuza tyuu.
Hana lolote.
 
Njia za kutatua changamoto za Jamii hasa vijana ni 2 tu.
1.Tengeneza mpango wa uanzishwaji viwanda-hii iendane na ku ban import ya vitu tunavyozalisha.ukiwa na viwanda vingi utaongeza uzalishaji,ajira na vipato.
2.Tengeneza mifumo mizuri ya kiutawala na Taasisi,Sheria na Technology. mifumo ndio iongoze nchi,hapa utadhibiti mambo mengi-ikiwemo rushwa.

Mie sijui viongozi wetu wanakwqma wapi,ngoja siku nikifanikiwa kupata madaraka.
 
Hizo ni tabia za CCM nyakati zote hasa awamu hii, kutawala na kudumisha madaraka yake kwa ulaghai na ubabe wa dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…