Nani alianzisha jina la "Daddy" kwa Viongozi wa Kiroho?

Mkuu taratibu
Makanukizipata kwanza ndio utaitwa daddy
Kinyume na hapo wewe ni baba mchungaji.
 
Wadada wa nyumbandogo ziliwafundisha watoto wao.
 
atakuwa ni mssengge mmoja aidha wa kike au wa kiume na njaa njaa zake za kijikomba komba kwa hao matapeli wa kidini ndio akaja na hilo jina la kitapeli, na wassenge wenzake wakaanza kulisambaza na kulitumia kwenye vijiwe vyao
Now mabinti kwenye hayo makanisa ndio utaratibu wao kuwaita hivyo.
Mi Hadi naona aibu
 
Ni yule muimbaji wa kiume mkenya mwenye asili ya congo aliyewika sana kwa nyimbo za injili hapa nchini, ndio hawa wengine nao wakaiga, by the way kumuita Mungu Daddy ni uhuni tu, haipendezi
Sasa hawa wanawaita viongozi wa kiroho wao
Sijui wao wanaona kawaida?
 
Kwamba kuitwa daddy itabidi uzikusanye pesa Kwa nguvu kwanza
Ununue gari Kali
Uvae suti Kali
Sijui umenielewa
Abby wewe ndiye haujanielewa nadhani ,sasa hivi hivyo yawezekana ninavyo ila bado nahitaji kujijenga zaidi ila sasa ikiwa nimestaafu usisahau nina mafao yangu ya ajira ni hayo nayaelekeza huko ili waje kunidekeza wenyewe kwa mishahara yao na zaka zao wakati ambao mimi nilifanya jitahada kuanzisha jambo la kikanisa .

Sasa let say nimepokea mafao yangu milioni hamsini na niliwekeza zingine hamsini ,chap nafungua huduma ,unadhani mimi ni DADDY SIO DADDY ?
 
Nimekuelewa
Tayari we ni daddy
Na mtaji unarudi mapema tu

Btw na uzee wote huo hayo yote unayataka ya nini.si upumzike?
 
Siku hizi majambazi na Malaya wamegundua namna nzuri ya kujificha ni kutumia mwamvuli wa kanisa

Muita dady na muitwa dady wote n Malaya waliokubuhu

Kama unabisha njoo na andiko
 
Nimekuelewa
Tayari we ni daddy
Na mtaji unarudi mapema tu

Btw na uzee wote huo hayo yote unayataka ya nini.si upumzike?
Na hili suala nipo serious Abby ,kuhusu umri sisubiri miaka sijui 60 mara 55 wala ya kuingezewa mwaka mmoja wala miwili eti mimi ni mtumishi tukuka ,hapana ni miaka arobaini na tano mpaka hamsini kamili naomba kustaafu kwa hiyari ili nikalitumikie kanisa tena mbeya ,najiona mtakavyo kuwa mnaniangalia kwa TV kwa wivu mkubwa na vile sina mke kila dada atatamani daddy amuoe ila ndiyo vile daddy mwenyewe ni chapa ilale ,mkija kustuka nipo America kama mzee Magari nachekea mbali kama Jakaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…