Nani alianzisha jina la "Daddy" kwa Viongozi wa Kiroho?

Nimeelewa mkuu
Ila unaweza kuleta ukakasi Fulani.

Na hao wanawaita bodaboda wao baby wakina nani?
Siku hizi huku mitaani ni vurugu tupu. Ninenda dukani naitwa mpenzi karibu. Nikastuka labda kuna mtu nyuma naona Niko alone.
Anyway, neno baby limekuwa common tofauti na miaka kadhaa nyuma. Sasa hivi Hadi bodaboda wanaitwa hivyo, Hadi wasichana kwa wasichana wanaitana hivyo. Point ni kuwa lugha has nothing to do na matendo mabaya ya mtu.
 
Nimekuelewa mkuu
 

Ila we jamaa😁😁
 
wanawake ni viumbe laini laini hata ktk lugha huchagua lugha laini.
Lugha kama lugha haina shida. Maana hata nyumbani anayeongoza kutumia maneno laini ni watoto wa kike.
Matendo ya hao watu na wachungaji wao hayahusiani na lugha. Hao Wana Nia uvu.
Wewe unaweza kuniita mimi daddy? Hujiulizi kwanini hutaki kugongwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…